Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

Wakuu


Hao wazee Fimbo za JPM bado zinawauma

Mtajwa anaumia na kile kimeo cha Burundi

Wahuni siyo watu


Asante!
 

Huyo unaye mshauri ni CCM . Sio mpinzani. Ndiye aliyempiga mkwara Been saanane na kweli akapotea mpaka leo.
 
Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.
Kuweni wakweli. CCM tangu ife haijawahi kufufuka.

Mwaka 2015, aliyeshinda uchaguzi ni Lowasa. Kikwete alipora ushindi wa Lowasa, na kuamru Magufuli atangazwe mshindi.

Mwaka 2019 na 2020, ndiyo ilikuwa ovyo zaidi. Magufuli alivuruga chaguzi zote, kuanzia Serikali za mitaa mpaka uchaguzi mkuu. Hakuna hata mtu mmoja anaweza kukupa uhalisia wa kura ambazo alipata mgombea yeyote iwe ni kwenye Urais, ubunge, udiwani au umwenyekiti wa Mtaa/kijiji. Tofauti na Kikwete, aliyekuwa anauma na kupuliza, marehemu Magufuli aliamua kufanya uharamia wa moja kwa moja, kama walivyo madikteta wote Duniani, hiwa hawana hofu wanapofanya ushetani wao.
 
Yule amekufa kutokana na kukosa akili.

Alikuwa Kila mtu anamuona ni adui.

Akafanya hujuma na kuuwa watu waziwazi.

Nae mungu kamuuwa.

Right angekili kuhusu watu kupotea au kuuwa na kupigwa tundu lissu risasi hadharani. Leo angekuwepo hai.
Namlaum kwanini aliliacha zwazwa kama wewe liishi
 

Niseme sijawahi kumkubali Magufuli na alinichukiza zaidi alipojifanya kuwachukia CHADEMA na kujiona mwamba. Ila sisi CHADEMA hatuna ubaya na mtu alipokuwa haonekani CHADEMA ndio walipiga kelele , lakini Kama kawaida wanafiki wakadai yupo hai .
 
Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.
Kuanzia 2014 kurudi nyuma ulikuwa ukivaa shati ya CCM unaonekana wa hovyo na ndio sababu alichaguliwa kukisafisha Leo wanamnanga.

Fadhila punda pundaka mkuu.
 
Hivi habari za CCM siku hizi unazo? Safi sana. Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Tatizo hamjui mnachokitaka.

Hatujui tunachokitaka kwani nyie ndio mnapanga mtu atake nini? Au umetumia hayo maneno kama bendera fuata upepo?
 
Kuanzia 2014 kurudi nyuma ulikuwa ukivaa shati ya CCM unaonekana wa hovyo na ndio sababu alichaguliwa kukisafisha Leo wanamnanga.

Fadhila punda pundaka mkuu.

Kwani alipoingia yeye ni kwamba CCM waliboreka, au ilikuwa ukiwazomea CCM unabambikiwa kesi?
 
Kuanzia 2014 kurudi nyuma ulikuwa ukivaa shati ya CCM unaonekana wa hovyo na ndio sababu alichaguliwa kukisafisha Leo wanamnanga.

Fadhila punda pundaka mkuu.

Nachomlaumu Magufuli alituona CHADEMA Kama sio Raia wa nchi hii, akatuchukia. Ila sisi ndio tulipiga kelele na kutishia kufanya press conference ya kutangazwa kifo chake , ndipo usiku mama Samiah akakurupushwa kutangazwa kuondoa fedheha.
 
Hivi labda tuulize CCM aliyoiasisi nyerere ndiyo ile ya Magufuri,au hii tunayoiona sasa hivi?
 
Hao walamba asali wanajua fika moizizi ya JPM kwa wapiga kura ndio maana hadi wanaropoka.. kuna siku watasema ukweli.

JPM alikuwa kipenzi Cha watanzania na ndio maana hadi Leo wanazusha kila aina ya uzushi ili wapate pa kutoka.

Kura za NEC zimeanza kuwaonesha namna watu wasivyo wataka.
 
Nachomlaumu Magufuli alituona CHADEMA Kama sio Raia wa nchi hii, akatuchukia. Ila sisi ndio tulipiga kelele na kutishia kufanya press conference ya kutangazwa kifo chake , ndipo usiku mama Samiah akakurupushwa kutangazwa kuondoa fedheha.
CHADEMA mlipelekwa kwa mabeberu na Lisu bila nyie kujua. Hadi Sasa mwemzenu anakula nyama choma ubeligiji kama mafao.
 
Kwa sababu speculation za kifo cha Dkt Magufuli zimeachwa kuzagaa bila uthibiti maana yake tunaamini tunachosikia sisi wananchi hasa kauli za viongozi waandamizi kushangilia kifo cha rais aliyekuwa madarakani
Kuna mtu anaweza kumwua binadamu mwenzake kwa kumpelekea Covid 19?

Samia alifanya kosa kubwa sana kuingia kwenye mtego wa kuuficha ukweli. Alitakiwa kuwa muwazi na mkweli kwa kueleza kuwa Magufuli amekufa kwa Covid 19.

Rais Nkuruzinza wa Burundi, naye Covid 19 haikumwacha. Mkewe aliponea chupuchupu, na alilazimika kupelekwa kwa air ambulance Nairobi.
 
Umesahau kusema kuwa atamlipia Sabaya
 
Ila bibi yako na babu yako wakifa kule kijijini ni mipango ya mungu ila akifa kiongozi mkubwa au magufuli ameuawa! Hizi akili zako ni takataka
Ni yjinga. Kuna baadhi ya watu wanaamini kifo ni kwaajili ya watu wengine na siyo viongozi.

Wenye fikra za kuua watu wengine, daima wanadhani kila anayekufa, ameuawa na watu fulani.

Kifo cha Magufuli ni natural death. Tuongelee waliouawa au kupotezwa na utawala wa marwhemu - Sanane, Kanguye, Azory (waliojaribu kuhoji uovu wa utawala wake).
 
Hata mkijibiwa nyie chawa wa mambuzi hamuwezi kuelewa...
Watu wanasema wenyewe wamemuua wewe chawa unabisha
Ebu tuwekee majina ya hao waliosema kuwa walimwua. Maana wengine wote hatujawahi kusikia kauli ya namna hiyo.

Lakini isije ikawa umeanza kuugua, kiasi cha kukufanya usikie ba kuona yasiyokuwepo.
 
Ebu tuwekee majina ya hao waliosema kuwa walimwua. Maana wengine wote hatujawahi kusikia kauli ya namna hiyo.

Lakini isije ikawa umeanza kuugua, kiasi cha kukufanya usikie ba kuona yasiyokuwepo.
Nikuwekee na nani!? wenzako wote wanajua waulize wewe chawa usiejua.
Pona kwanza uchawa ndio uanze utabiri wako na ramli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…