Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kulalama Huku,niwambie ndugu zangu mkitaka nchi hii iwe mahala salama pa kuishi acheni unafiki Upinzani kama hautakuepo genge la Wanyonyaji litajenga mizizi vizazi na vizazi, mimi nashangaa sana mtu analalamika badala ya kutoa njia mbadala juu ya kesho, analalamika tu. Ukweli bila kupepesa mkitaka nchi iwe nyoofu kama rula Upinzani 40%Majority 60%.Nchi itanyooka hakuna atakae jifanya kambale. Ni hayo tu mkayatazame wenzangu!!
Kuweni wakweli. CCM tangu ife haijawahi kufufuka.Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.
Namlaum kwanini aliliacha zwazwa kama wewe liishiYule amekufa kutokana na kukosa akili.
Alikuwa Kila mtu anamuona ni adui.
Akafanya hujuma na kuuwa watu waziwazi.
Nae mungu kamuuwa.
Right angekili kuhusu watu kupotea au kuuwa na kupigwa tundu lissu risasi hadharani. Leo angekuwepo hai.
Mwamba alikomaa kuinyoosha nchi iliyopindishwa na 'wahuni' wachache na aliwashughulikia haswa hadi wakabweka kama mbwa.
JPM atakumbukwa kwa mission kabambe alizoziasisi mara tu alipoingia madarakani, (kutumbua majipu, kudhibiti wenye vyeti feki, kufuta mishahara hewa, kufukuza bungeni wapinzani wa michongo, nk)
Madudu hayo yote yaliasisiwa na mzee wa Msoga.
Kuanzia 2014 kurudi nyuma ulikuwa ukivaa shati ya CCM unaonekana wa hovyo na ndio sababu alichaguliwa kukisafisha Leo wanamnanga.Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.
Hivi habari za CCM siku hizi unazo? Safi sana. Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Tatizo hamjui mnachokitaka.
Mchana Mwema, Mheshimiwa Tindo.Hatujui tunachokitaka kwani nyie ndio mnapanga mtu atake nini? Au umetumia hayo maneno kama bendera fuata upepo?
Kuanzia 2014 kurudi nyuma ulikuwa ukivaa shati ya CCM unaonekana wa hovyo na ndio sababu alichaguliwa kukisafisha Leo wanamnanga.
Fadhila punda pundaka mkuu.
Kuanzia 2014 kurudi nyuma ulikuwa ukivaa shati ya CCM unaonekana wa hovyo na ndio sababu alichaguliwa kukisafisha Leo wanamnanga.
Fadhila punda pundaka mkuu.
CHADEMA mlipelekwa kwa mabeberu na Lisu bila nyie kujua. Hadi Sasa mwemzenu anakula nyama choma ubeligiji kama mafao.Nachomlaumu Magufuli alituona CHADEMA Kama sio Raia wa nchi hii, akatuchukia. Ila sisi ndio tulipiga kelele na kutishia kufanya press conference ya kutangazwa kifo chake , ndipo usiku mama Samiah akakurupushwa kutangazwa kuondoa fedheha.
Kuna mtu anaweza kumwua binadamu mwenzake kwa kumpelekea Covid 19?Kwa sababu speculation za kifo cha Dkt Magufuli zimeachwa kuzagaa bila uthibiti maana yake tunaamini tunachosikia sisi wananchi hasa kauli za viongozi waandamizi kushangilia kifo cha rais aliyekuwa madarakani
Umesahau kusema kuwa atamlipia SabayaWapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa.
Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa lake china ya sera hizi hizi za chama Chama cha Mapinduzi.
Hapakuwahi kutokokea Kiongozi wa kitaifa aliwaambia ukweli Watanzania kama alivyo twambia Mzee Magufuli.
Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa kwa dam na nyama hakulala hakupumzika hakuwa na muda wakupoteza kama kiongozi wakitaifa.
Alifanya kazi kwa uchungu mkubwa na alitaka kuona change for nation.
Sorry wajinga wachache I can call them rat of nation walimuona kama paka hatari katika nyumba alie taka kuangamiza uzao wote wamapanya ktk nyumba.
Leo naliuliza Baraza la usalama wa Taifa na ma general wote na wakuu wa usalama kama Magufuli alifanya kwa ajili ya tumbo lake watuambie ni wapi na kwa ajili gani some hata ya makampuni wanasema yake sio yake sio yake na hao secret service the know what was on the plan.
Kwa manufaa haya Taifa maana watu wabaya walikuwa wakitupangia mabaya usiku na mchana na tulikuwa tukionya mara kuonya some thing bad what to happen?
Tanzania nitapiga kubwa Tanzania ni taifa lenye Mali na kila aina ya utajiri why kikundi fulani ndio kinataka kula na kunyonya maziwa ya mama Tanzania wao na vizazi vyao nakutukana watu kwa masilahi yao binafsi?
Siku hazigandi siku hazigandi Mungu atamlipia Mwl Nyerere atamlipia Sokoine. Atamlipia Mkapa na Magufuli
Basi sawaMAKAMBA hakuyasema haya kwa BAHATI MBAYA wala ULIMI HAUKUTELEZA ALIYAPANGA NA wote hao WAKUBWA wanajua ndio Maana Alipewa JUKWAA
Ni yjinga. Kuna baadhi ya watu wanaamini kifo ni kwaajili ya watu wengine na siyo viongozi.Ila bibi yako na babu yako wakifa kule kijijini ni mipango ya mungu ila akifa kiongozi mkubwa au magufuli ameuawa! Hizi akili zako ni takataka
Ebu tuwekee majina ya hao waliosema kuwa walimwua. Maana wengine wote hatujawahi kusikia kauli ya namna hiyo.Hata mkijibiwa nyie chawa wa mambuzi hamuwezi kuelewa...
Watu wanasema wenyewe wamemuua wewe chawa unabisha
Nikuwekee na nani!? wenzako wote wanajua waulize wewe chawa usiejua.Ebu tuwekee majina ya hao waliosema kuwa walimwua. Maana wengine wote hatujawahi kusikia kauli ya namna hiyo.
Lakini isije ikawa umeanza kuugua, kiasi cha kukufanya usikie ba kuona yasiyokuwepo.
sijuo ww ni brow sijui ni sister umeongea lugha moja tamu na yenye afiaWameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.