Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

Kwa sababu speculation za kifo cha Dkt Magufuli zimeachwa kuzagaa bila uthibiti maana yake tunaamini tunachosikia sisi wananchi hasa kauli za viongozi waandamizi kushangilia kifo cha rais aliyekuwa madarakani
Nchi hii watu wanakufa kila siku mania kwa maelfu na tunasemaga kazi ya Mungu haina makosa kwanini iwe tofauti kwa Magu?
 
Wewe vipi....umetumwa na chawa wenzako nini?? Ushahidi wa nini wakati ni kweli JPM aliuwawa!
Ukweli unakuwaje ukweli bila ushahidi?..are you mad or something?.

Mimi sio chawa wala nini..ni kwamba tu nafikiria kwa kutumia akili and i'm afraid you're not.
 
Nachomlaumu Magufuli alituona CHADEMA Kama sio Raia wa nchi hii, akatuchukia. Ila sisi ndio tulipiga kelele na kutishia kufanya press conference ya kutangazwa kifo chake , ndipo usiku mama Samiah akakurupushwa kutangazwa kuondoa fedheha.
Kwahiyo unajisifu mmekuwa wazuri kwake kwa kutangaza kifu

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Nikuwekee na nani!? wenzako wote wanajua waulize wewe chawa usiejua.
Pona kwanza uchawa ndio uanze utabiri wako na ramli.
Ndiyo maana nasema huenda umeanza kuchanganyikiwa. Mimi na hicho Chama cha Mambuzi, tangu lini? Sijawahi kuwa chawa wa mtu, na sitakuwa. Nathamini sana utu wangu.
 
Ndiyo maana nasema huenda umeanza kuchanganyikiwa. Mimi na hicho Chama cha Mambuzi, tangu lini? Sijawahi kuwa chawa wa mtu, na sitakuwa. Nathamini sana utu wangu.
Sawa chawa wa mambuzi...,
 
Hakika ni ajabu sana tena sana kusikia hawa akina Nape wakishangilia na kufanya sherehe kila kukicha wakifurahia kifo cha rais aliyekuwa madarakani. Mzee Makamba ndiyo kawaumbua wote kabisa.
 
MAKAMBA hakuyasema haya kwa BAHATI MBAYA wala ULIMI HAUKUTELEZA ALIYAPANGA NA wote hao WAKUBWA wanajua ndio Maana Alipewa JUKWAA
Ndio maana tunasema usidhihaki kifo cha mtu wala kufurahia,unaweza ukapewa platform ya kuzungumza,chonde chonde ukijua umelewa usiende kuongea,maana utaangukia kwenye makosa tu.ndicho tulichokiona kwa ndugu yetu yusufu makamba.
 
Watu wasiojulikana. Sijui waliishia wapi vile
 
Kwa huu ulimwengubwa kibepari yule mzee alijitoa mhanga kwa ajili ya watu wake. Wananchi tuliona wazi hata viongozi wetu wa upinzani wapo kwa maslahi ya mabeberu dhidi ya rasilimali za taifa letu. Yule mzee alikufa kama shujaa wa kizazi hiki japo ndoto zake zitikatishwa
 
Ile kauli chafu, mbovu iliyojaa kinyaa ya mzee makamba ni ushahidi tosha kundi la mzee makamba linahusika kukatisha uhai wa magufuli.
 
Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.
aifufue ccm mtu ambaye hapo kabla hajawahi hata kuwa mjumbe wa shina wa ccm? hivi mnafikiria lakini kabla ya kuandika au? magufuli hajaifufua ccm alichokifanya ni kuviua vyama vingine ili atawale peke yake mf unapiga marufuku mikutano lakini wewe unafanya?
unakataza bunge live lakini wewe unaonekana
unafungia magazeti lakini uanaruhusu musiba aanzishe vijigazeti vya kukusifu na kutukana wengine
yule alikuw araisi wa hovyo kuwahi kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…