All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
Ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii watu wanakufa kila siku mania kwa maelfu na tunasemaga kazi ya Mungu haina makosa kwanini iwe tofauti kwa Magu?Kwa sababu speculation za kifo cha Dkt Magufuli zimeachwa kuzagaa bila uthibiti maana yake tunaamini tunachosikia sisi wananchi hasa kauli za viongozi waandamizi kushangilia kifo cha rais aliyekuwa madarakani
Ukweli unakuwaje ukweli bila ushahidi?..are you mad or something?.Wewe vipi....umetumwa na chawa wenzako nini?? Ushahidi wa nini wakati ni kweli JPM aliuwawa!
Kwahiyo unajisifu mmekuwa wazuri kwake kwa kutangaza kifuNachomlaumu Magufuli alituona CHADEMA Kama sio Raia wa nchi hii, akatuchukia. Ila sisi ndio tulipiga kelele na kutishia kufanya press conference ya kutangazwa kifo chake , ndipo usiku mama Samiah akakurupushwa kutangazwa kuondoa fedheha.
Ndiyo maana nasema huenda umeanza kuchanganyikiwa. Mimi na hicho Chama cha Mambuzi, tangu lini? Sijawahi kuwa chawa wa mtu, na sitakuwa. Nathamini sana utu wangu.Nikuwekee na nani!? wenzako wote wanajua waulize wewe chawa usiejua.
Pona kwanza uchawa ndio uanze utabiri wako na ramli.
Sawa chawa wa mambuzi...,Ndiyo maana nasema huenda umeanza kuchanganyikiwa. Mimi na hicho Chama cha Mambuzi, tangu lini? Sijawahi kuwa chawa wa mtu, na sitakuwa. Nathamini sana utu wangu.
Ficha ujingaNani alimuua JPM?..
Weka vitu bayana..wataje waziwazi hapa..otherwise ni uzushi tu..Kifo ni cha kila binadamu.
Hakika ni ajabu sana tena sana kusikia hawa akina Nape wakishangilia na kufanya sherehe kila kukicha wakifurahia kifo cha rais aliyekuwa madarakani. Mzee Makamba ndiyo kawaumbua wote kabisa.Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa.
Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa lake china ya sera hizi hizi za chama Chama cha Mapinduzi.
Hapakuwahi kutokokea Kiongozi wa kitaifa aliwaambia ukweli Watanzania kama alivyo twambia Mzee Magufuli.
Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa kwa dam na nyama hakulala hakupumzika hakuwa na muda wakupoteza kama kiongozi wakitaifa.
Alifanya kazi kwa uchungu mkubwa na alitaka kuona change for nation.
Sorry wajinga wachache I can call them rat of nation walimuona kama paka hatari katika nyumba alie taka kuangamiza uzao wote wamapanya ktk nyumba.
Leo naliuliza Baraza la usalama wa Taifa na ma general wote na wakuu wa usalama kama Magufuli alifanya kwa ajili ya tumbo lake watuambie ni wapi na kwa ajili gani some hata ya makampuni wanasema yake sio yake sio yake na hao secret service the know what was on the plan.
Kwa manufaa haya Taifa maana watu wabaya walikuwa wakitupangia mabaya usiku na mchana na tulikuwa tukionya mara kuonya some thing bad what to happen?
Tanzania nitaifa kubwa Tanzania ni taifa lenye Mali na kila aina ya utajiri why kikundi fulani ndio kinataka kula na kunyonya maziwa ya mama Tanzania wao na vizazi vyao nakutukana watu kwa masilahi yao binafsi?
Tunajuwa Hayati Mkapa kwanini mnamchukia hakuna siri alipinga watoto wa vigogo kukifunika chama and he was very firm on this so he was a threat to panya in side the house chuki hasira kwa waliokufa nikurudisha nyuma mikakati yakurithishana nyumba. Kwanini mnamlaani Hayati Magufuli alitia sumu ndani ya nyumba kiasi hata wale panya walikuwa wakikwepa sumu nakujuwa sumu walikula na walipitea...
Swali ni moja tu Magufuli alifanya operation zote chini ya secret service. Kwanini and why je semeni mpango kazi wa Taifa ni upi na kwanini upo hivyo je Kuna siri mtaificha au siku zitawaumbua...
Siku hazigandi siku hazigandi Mungu atamlipia Mwl Nyerere atamlipia Sokoine. Atamlipia Mkapa na Magufuli
Unknown todate.Kwahiyo magufuli aliuawa? Ni nani amemuua? Jibu hayo maswali then
Wazee wamechimba mashimo,
Ni sharti waanze kutumbukia wao!!!
Ndio maana tunasema usidhihaki kifo cha mtu wala kufurahia,unaweza ukapewa platform ya kuzungumza,chonde chonde ukijua umelewa usiende kuongea,maana utaangukia kwenye makosa tu.ndicho tulichokiona kwa ndugu yetu yusufu makamba.MAKAMBA hakuyasema haya kwa BAHATI MBAYA wala ULIMI HAUKUTELEZA ALIYAPANGA NA wote hao WAKUBWA wanajua ndio Maana Alipewa JUKWAA
Watu wasiojulikana. Sijui waliishia wapi vileYaani TumainiEl watanzania mpaka sasa hatuelewi nini maaana ya kitu kinachoitwa usalama wa taifa.
Haiwezekani rais auawe chini ya mikono yao halafu waliomuua waendelee na tambo mpaka kufikia hatua ya kujigamba kwa kauli bila kuogopa.
Ina maana wao ni walinzi wa maslahi gani? Kwa nini huu mjadala wa kumdhihaki Dkt Magufuli wasingeufunga ili watu wajadili maendeleo?
Inasikitisha sana kama kweli eti watu wazuri hawafi jamani basi Mungu yupo.
Unknown todate.
Ile kauli chafu, mbovu iliyojaa kinyaa ya mzee makamba ni ushahidi tosha kundi la mzee makamba linahusika kukatisha uhai wa magufuli.Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa.
Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa lake china ya sera hizi hizi za chama Chama cha Mapinduzi.
Hapakuwahi kutokokea Kiongozi wa kitaifa aliwaambia ukweli Watanzania kama alivyo twambia Mzee Magufuli.
Hayati Magufuli amekufa akilitetea Taifa kwa dam na nyama hakulala hakupumzika hakuwa na muda wakupoteza kama kiongozi wakitaifa.
Alifanya kazi kwa uchungu mkubwa na alitaka kuona change for nation.
Sorry wajinga wachache I can call them rat of nation walimuona kama paka hatari katika nyumba alie taka kuangamiza uzao wote wamapanya ktk nyumba.
Leo naliuliza Baraza la usalama wa Taifa na ma general wote na wakuu wa usalama kama Magufuli alifanya kwa ajili ya tumbo lake watuambie ni wapi na kwa ajili gani some hata ya makampuni wanasema yake sio yake sio yake na hao secret service the know what was on the plan.
Kwa manufaa haya Taifa maana watu wabaya walikuwa wakitupangia mabaya usiku na mchana na tulikuwa tukionya mara kuonya some thing bad what to happen?
Tanzania nitaifa kubwa Tanzania ni taifa lenye Mali na kila aina ya utajiri why kikundi fulani ndio kinataka kula na kunyonya maziwa ya mama Tanzania wao na vizazi vyao nakutukana watu kwa masilahi yao binafsi?
Tunajuwa Hayati Mkapa kwanini mnamchukia hakuna siri alipinga watoto wa vigogo kukifunika chama and he was very firm on this so he was a threat to panya in side the house chuki hasira kwa waliokufa nikurudisha nyuma mikakati yakurithishana nyumba. Kwanini mnamlaani Hayati Magufuli alitia sumu ndani ya nyumba kiasi hata wale panya walikuwa wakikwepa sumu nakujuwa sumu walikula na walipitea...
Swali ni moja tu Magufuli alifanya operation zote chini ya secret service. Kwanini and why je semeni mpango kazi wa Taifa ni upi na kwanini upo hivyo je Kuna siri mtaificha au siku zitawaumbua...
Siku hazigandi siku hazigandi Mungu atamlipia Mwl Nyerere atamlipia Sokoine. Atamlipia Mkapa na Magufuli
aifufue ccm mtu ambaye hapo kabla hajawahi hata kuwa mjumbe wa shina wa ccm? hivi mnafikiria lakini kabla ya kuandika au? magufuli hajaifufua ccm alichokifanya ni kuviua vyama vingine ili atawale peke yake mf unapiga marufuku mikutano lakini wewe unafanya?Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.