Kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi Marekani haitokuwa na haja ya kujibu mashambulizi

Anachofanya Iran ni kuwarifhisha wafuasi wake tu,
Km ambavyo Hezbollah huwa wanafanya wanaporusha kwa papara maroketi Israeli baada ya kichapo,
Lkn kwa kuwa kakili kuua askari 80 ambao tunajiuliza kwa nn aseme wamarekani tu wakati kambi hizo zinamchanganyiko wa wanajeshi wa nchi nyingine basi asilalamike akipigwa,
Hongera Iran kuwa na makombora yanayoua wamarekani tu hata wakiwa mchanganyiko na wachina yenyewe yanahisi wamarekani na kuwachambua kisha yanawaua na kuwaacha wasio wamarekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekufa wamarekani wengi tu, lakini US na Israel watasema hakuna aliye kufa.
Huyu Iran anataka hiyo nchi yake kufanywa Kifusi kama Iraq. MuIran huwa anajitanya ana msimamo Sana na Nguvu Kwa kutishia kuishambulia Israel penye maslahi ya USA. Ngoja ashushiwe Nuclear Akili itamkaa Sawa.
Kuishambulia Base ni kuishambulia Nchi. Shauri yake. Kofi cha mtu mmoja Tu kinaweza pelekea maangamizi ya Nchi. Walianza kufa 50 Siku ya maziko.

.
 
Wamesema wameuwa 80 wLio kuwa kwenye base hizo hawakusema ni wamarekani au taifa gani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shirika la habari la Kuwait limekuwa hacked na kutoa taarifa ya kuwa vikosi vya Marekani vimetakiwa kuondoka nchini humo ndani ya siku 3.

Serikali ya Kuwait imeingilia kati na kukanusha kuhusu vikosi hivyo kuondoka nchini humo.
US Kashachokwa Mashariki Yakati Hatuombei Vita Ila Ikitokea Vimeibuka Atapigwa Mpaka Nahao Anaowaamini Kwamba Ni Swahiba Zake

Na Ataiona Mido Ist Kama Moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo masuala yakujua alokufa ni mchina ama nani wame achiwa wenyewe hayo IRAN Hayamuhusu[emoji16][emoji23][emoji3][emoji2][emoji12][emoji14][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check huu mziki
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Hata we jiulize mbona wako kimya ? sababu kipigo kikubwa walicho kipata haijawahi kutokea, yani wako wanafikiria wajibu uwongo upi ili Trump apate kusave uso wake. Hivi USA asijue mpaa mda huu hasara walio ipata kwani USA ni Tanzania.
watu wengi humu jf,wanafikiri marekani atakurupuka kupigana vita,wakati kambi zake zipo nchi jirani na iran,na iran ameonya yeyote aliyemhifadhi mmarekani,atakuwa target ya kwanza nchi yake kushambuliwa,waarabu hawatakubali miji yao mizuri yawe magofu,eti kisa urafiki na usa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Venezuela pale alogonga mwamba aisee. Sijui wamerakani hawana roho wale mabwana yaani wao watu wengine wafe mradi wao Taifa lao lisimame.

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
Hata watz tungekuwa na spirit ya wamarekani basi taifa letu lingekuwa tishio duniani
 
Habar hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…