Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekufa wamarekani wengi tu, lakini US na Israel watasema hakuna aliye kufa.
Hii kipindi ya vita ya iraqAngalia hiyo we pimbiView attachment 1315998View attachment 1315999
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Iran anataka hiyo nchi yake kufanywa Kifusi kama Iraq. MuIran huwa anajitanya ana msimamo Sana na Nguvu Kwa kutishia kuishambulia Israel penye maslahi ya USA. Ngoja ashushiwe Nuclear Akili itamkaa Sawa.Wamekufa wamarekani wengi tu, lakini US na Israel watasema hakuna aliye kufa.
Wamesema wameuwa 80 wLio kuwa kwenye base hizo hawakusema ni wamarekani au taifa gani.Anachofanya Iran ni kuwarifhisha wafuasi wake tu,
Km ambavyo Hezbollah huwa wanafanya wanaporusha kwa papara maroketi Israeli baada ya kichapo,
Lkn kwa kuwa kakili kuua askari 80 ambao tunajiuliza kwa nn aseme wamarekani tu wakati kambi hizo zinamchanganyiko wa wanajeshi wa nchi nyingine basi asilalamike akipigwa,
Hongera Iran kuwa na makombora yanayoua wamarekani tu hata wakiwa mchanganyiko na wachina yenyewe yanahisi wamarekani na kuwachambua kisha yanawaua na kuwaacha wasio wamarekani
Sent using Jamii Forums mobile app
US Kashachokwa Mashariki Yakati Hatuombei Vita Ila Ikitokea Vimeibuka Atapigwa Mpaka Nahao Anaowaamini Kwamba Ni Swahiba ZakeShirika la habari la Kuwait limekuwa hacked na kutoa taarifa ya kuwa vikosi vya Marekani vimetakiwa kuondoka nchini humo ndani ya siku 3.
Serikali ya Kuwait imeingilia kati na kukanusha kuhusu vikosi hivyo kuondoka nchini humo.
Hayo masuala yakujua alokufa ni mchina ama nani wame achiwa wenyewe hayo IRAN Hayamuhusu[emoji16][emoji23][emoji3][emoji2][emoji12][emoji14][emoji12]Anachofanya Iran ni kuwarifhisha wafuasi wake tu,
Km ambavyo Hezbollah huwa wanafanya wanaporusha kwa papara maroketi Israeli baada ya kichapo,
Lkn kwa kuwa kakili kuua askari 80 ambao tunajiuliza kwa nn aseme wamarekani tu wakati kambi hizo zinamchanganyiko wa wanajeshi wa nchi nyingine basi asilalamike akipigwa,
Hongera Iran kuwa na makombora yanayoua wamarekani tu hata wakiwa mchanganyiko na wachina yenyewe yanahisi wamarekani na kuwachambua kisha yanawaua na kuwaacha wasio wamarekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara tu baada ya mashambulizi kutekelezwa katika kambi mbili za kijeshi zinazotumika na majeshi ya Marekani nchini Iraq, Rais wa Marekani, Donald Trump alikuwa alihutubie taifa la Marekani kwa mujibu wa taarifa rasmi lakini mara baada ya kikao maalumu na maafisa wa ngazi za juu wa masuala ya ulinzi na usalama katika ikulu ya Marekani, White House alisitisha mpango wa kutoa hotuba hiyo.
Lakini hakuishia hapo bali Trump ali-tweet akisema kuwa;
"Kila kitu kipo sawa, kambi zetu mbili za kijeshi zilizopo Iraq zimeshambuliwa na Iran, tunafanya tathmini kujua kama kuna madhara yaliyopatikana au uharibifu wowote wa mali, yote kwa yote tuna vifaa bora vya kivita kuliko nchi yoyote ile Duniani, kwa mbali! Nitatoa tamko kesho asubuhi"
Mpaka sasa taarifa kutoka Marekani zinadai kuwa hakuna taarifa za vifo kwa wanajeshi wao huku Iraq pia ikisema vivyo hivyo, lakini Iran imedai kuwa mashambulizi yao yamefanikiwa kuwaua wanajeshi wa Marekani. Muda upo na tuendelee kuzisubiri taarifa zaidi hususani baada ya hiyo tathmini.
Ila kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi sidhani kama Marekani atakuwa na haja ya kuyajibu kijeshi mashambulizi hayo kama Pentagon ilivyokuwa ikiweka wazi hapo awali na kama jambo hili ni kweli, basi wachambuzi mbalimbali wa masuala ya kimataifa wanayaita mashambulizi haya yanayotajwa kama "kisasi" yaliyofanywa na jeshi la Iran kama hatua ya kuokoa nyuso zao (save face) mbele ya wananchi na dunia kwa ujumla.
Tuendelee kusubiri!
Mods sidhani kama kuna haja ya kuunganisha huu uzi, ni vyema ukabaki hivi hivi kama ulivyo.
Pia pitia mabandiko haya hapo chini kwa taarifa zaidi:
Iran yatishia kuzishambulia kwa makombora kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati
Jeshi la Iran limesema kuwa limejipanga kutumia makombora ya masafa ya kati na ya mbali kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati ikiwa ni mpango wa kulipa kisasi kutokana na mauaji ya jenerali wa kikosi maalum cha Iran, Qassem Suleiman aliyeuawa na Marekani wiki...www.jamiiforums.com
![]()
Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil
Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...www.jamiiforums.com
yaani wamarekani wa tanzania,ni vigeugeu kama kinyonga,,kama wao wanaweza wambie warushe jiwe tu kwenye ubalozi wa usa,alafu waone majibu yake...Haa wabongo buana si ndio nyie mliokuwa mnasema Iran hatathubutu hata kurusha kokoto kwenye kambi ya jeshi la marekani sasa hivi mmegeuza maneno tena.
Wacha hayo mozowezi ya jeshi la Qatar
watu wengi humu jf,wanafikiri marekani atakurupuka kupigana vita,wakati kambi zake zipo nchi jirani na iran,na iran ameonya yeyote aliyemhifadhi mmarekani,atakuwa target ya kwanza nchi yake kushambuliwa,waarabu hawatakubali miji yao mizuri yawe magofu,eti kisa urafiki na usa...Hata we jiulize mbona wako kimya ? sababu kipigo kikubwa walicho kipata haijawahi kutokea, yani wako wanafikiria wajibu uwongo upi ili Trump apate kusave uso wake. Hivi USA asijue mpaa mda huu hasara walio ipata kwani USA ni Tanzania.
Wacha hayo mozowezi ya jeshi la Qatar
Ulikuwepo eneo la tukio ?Wamekufa wamarekani wengi tu, lakini US na Israel watasema hakuna aliye kufa.
Hata watz tungekuwa na spirit ya wamarekani basi taifa letu lingekuwa tishio dunianiVenezuela pale alogonga mwamba aisee. Sijui wamerakani hawana roho wale mabwana yaani wao watu wengine wafe mradi wao Taifa lao lisimame.
Anyways.
Kila mtu ashinde mechi zake!
Habar hyoMara tu baada ya mashambulizi kutekelezwa katika kambi mbili za kijeshi zinazotumika na majeshi ya Marekani nchini Iraq, Rais wa Marekani, Donald Trump alikuwa alihutubie taifa la Marekani kwa mujibu wa taarifa rasmi lakini mara baada ya kikao maalumu na maafisa wa ngazi za juu wa masuala ya ulinzi na usalama katika ikulu ya Marekani, White House alisitisha mpango wa kutoa hotuba hiyo.