Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,516
Mkuu kuwa rational ..katika kambi hizo kulikuwa na wa Marekani,wacanada ,waingereza na Wairaki ..hao wote wamekanusha kutokea kwa vifo miongoni mwa watu wao..so inakuwaje ulazimishe wamekufa tena toka chanzo cha adui(Iranian media).Wamesema wameuwa 80 wLio kuwa kwenye base hizo hawakusema ni wamarekani au taifa gani.
#maana wengi humu kama habari inahusu Marekani na vyombo vya habari vy kimarekani au kimagharibi huwa hawaamini mpaka vyombo vingine vya mashariki au neutral vilipoti tukio hilo.(wanasema ni propaganda).. Sasa kwa kutumia kanuni hii huoni kuwa hata hao ambao tukio ni Iran kushambulia(kuripa kisasi) na casualties inaripotiwa na vyombo vya Iran instantly bila vyombo vingine vya habari kulipoti the same huoni hiyo pia inaweza kuwa propaganda, biased information.(ukizingazia situation ilivyo)
Sent using Jamii Forums mobile app