Kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi Marekani haitokuwa na haja ya kujibu mashambulizi

Wamesema wameuwa 80 wLio kuwa kwenye base hizo hawakusema ni wamarekani au taifa gani.
Mkuu kuwa rational ..katika kambi hizo kulikuwa na wa Marekani,wacanada ,waingereza na Wairaki ..hao wote wamekanusha kutokea kwa vifo miongoni mwa watu wao..so inakuwaje ulazimishe wamekufa tena toka chanzo cha adui(Iranian media).

#maana wengi humu kama habari inahusu Marekani na vyombo vya habari vy kimarekani au kimagharibi huwa hawaamini mpaka vyombo vingine vya mashariki au neutral vilipoti tukio hilo.(wanasema ni propaganda).. Sasa kwa kutumia kanuni hii huoni kuwa hata hao ambao tukio ni Iran kushambulia(kuripa kisasi) na casualties inaripotiwa na vyombo vya Iran instantly bila vyombo vingine vya habari kulipoti the same huoni hiyo pia inaweza kuwa propaganda, biased information.(ukizingazia situation ilivyo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea point yangu hapa!

Trump aliahidi sio tu wamarekani wakihujumiwa ila hata base zake zikiguswa basi Iran atakiona cha mtema kuni. So kama mashambulizi ya Iran ni kusave face kama ulivoiweka basi ni sawa na Usa tu

The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!
 
Donald Trump kulihutubia taifa la Marekani hii leo ifikapo majira ya saa 1 jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.
 
Mkuu kuwa rational ..katika kambi hizo kulikuwa na wa Marekani,wacanada ,waingereza na Wairaki ..hao wote wamekanusha kutokea kwa vifo miongoni mwa watu wao..so inakuwaje ulazimishe wamekufa tena toka chanzo cha adui(Iranian media).

#maana wengi humu kama habari inahusu Marekani na vyombo vya habari vy kimarekani au kimagharibi huwa hawaamini mpaka vyombo vingine vya mashariki au neutral vilipoti tukio hilo.(wanasema ni propaganda).. Sasa kwa kutumia kanuni hii huoni kuwa hata hao ambao tukio ni Iran kushambulia(kuripa kisasi) na casualties inaripotiwa na vyombo vya Iran instantly bila vyombo vingine vya habari kulipoti the same huoni hiyo pia inaweza kuwa propaganda, biased information.(ukizingazia situation ilivyo)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hutaki au? Hao wote wameamua kuyaficha matokeo lakn ukweli tayar USA kapoteza watu wake,..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa yani maajabu leo Trump mzee wa kutwit tu amekausha hataki kutoa tamko twita wakati ndio tabia zake kila siku.
Kweli mambo yamefika hapaa.

Vita ya kwanza iko marekani akishinda hio ndio aje iran
#teamiran
 
Hivi unaujua muziki wa ballistic missile?

Kitu hata kikidondoka Kibaha lazima kuna watu watakufa kwa mshtuko kariakoo, Sembuse Njugu kumi zigonge base halafu asife mtu hata mmoja katika maeneo ya base?

Kumbukeni Bomu la Osama kwenye ubalozi wa Marekani mwaka 1998, Watu waliokuwa maeneo ya posta mioyo ilitaka kuchomoka sembuse midude mizito ya Irani!. Labda kama kulikuwa hakuna mtu mmoja ndani ya hizo base, lakini kama walikuwemo lazima kuna ambao mioyo iliseeze kutokana na kishindo!

Mmesahau hata mabomu ya mbagala muziki wake?-Sembuse mamissile!
 
Wanajaribu kuficha udhaifu maana wanajiona miungu watu lakn tunamshukur mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This just in and confirmed from president Trump's address in the white house happening this minute: there are no casualties I repeat there are no casualties
So Iran kalipua mchanga
 
BREAKING: Iranian official tells state television that his country can hit a hundred other American targets if the Trump Administration retaliates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa waretaliate ili iweje wakati HAKUNA casualties??
Hapo kwenye base alimaanisha nini kama kuretaliate ni hadi Iran iuwe wanajeshi tu wa America?

The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!
 
Iran has again warned regional dictators
If any country in Persian Gulf - #UAE #SaudiArabia and others allow US military installations to be used in any attack on Iran THOSE REGIMES WILL BE ENDED - They must pull back now
- Prof Mohamad Marandi
#AxisOfResistance #IranAttacks Nardeep Pujji on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This just in and confirmed from president Trump's address in the white house happening this minute: there are no casualties I repeat there are no casualties
So Iran kalipua mchanga
The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]

Allahu akbar...mungu kaepushia mbali
 
Wake up brother huu mchongo umepangwa....Ayatolla kaongea na Whitehouse iondoe wanajeshi Kwenye hizo base ili wazipige ili Iran wananchi wafurahi halafu watangaze Kwenye news zao kuwa wameua askari wakimarekani wengi ili RAIA za Iran zitulie zikijua zimeshalipa kifo cha shahid Suleiman..... Its a win win situation
Hapo kwenye base alimaanisha nini kama kuretaliate ni hadi Iran iuwe wanajeshi tu wa America?

The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!
 
Mjadala umefungwa kwa muda. Naona Trump ameamua kuufunga kwa namna hii hii ambayo tumekuwa tukiijadili hapa.

No casualties, no military retaliation, but more sanctions.
 
Wake up brother huu mchongo umepangwa....Ayatolla kaongea na Whitehouse iondoe wanajeshi Kwenye hizo base ili wazipige ili Iran wananchi wafurahi halafu watangaze Kwenye news zao kuwa wameua askari wakimarekani wengi ili RAIA za Iran zitulie zikijua zimeshalipa kifo cha shahid Suleiman..... Its a win win situation
We jamaa umenionaje aisee! Kwa uelewa wa haya mambo na umri nilionao sistahili kunyweshwa chai ya dzain hii. Hizi stori peleka kwa wenzio kwenye vibanda vya movie za James Bond na Rambo
 
Back
Top Bottom