lukwangul
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 3,462
- 1,255
Hukuona footage ya Ile operation!Tuonyeshe picha yoyote ya kifo cha Osama au jeneza lake
Nenda youtube!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukuona footage ya Ile operation!Tuonyeshe picha yoyote ya kifo cha Osama au jeneza lake
Mkuu hapa nimeambulia "Asad" pekee, huko kwingine ni kama nimepita tu:44 p.m.
U.S. ambassador to Israel says few U.S. casualties
JERUSALEM — U.S. Ambassador to Israel David Friedman said that early assessments of Iran’s missile strikes against U.S. forces suggested U.S. casualties may be limited.
“Initial assessments are positive and we pray these reports are true,” Friedman said before he addressed a forum on U.S. policy on Israeli settlements in Jerusalem Wednesday
Hahaha @ The washington post
22 a.m.
Iran claims dozens of U.S. deaths in missile strike
DUBAI — Iran’s Revolutionary Guard claimed Wednesday that dozens of U.S. soldiers were killed in a missile attack on Al-Asad base in Iraq. The U.S. military has said it is still assessing casualties.
In a statement to state television the elite Revolutionary Guard said 15 missiles hit 20 critical points killing 80 soldiers, wounding 200 and destroying large quantities of military equipment, including helicopters, according to the Mehr news agency.
Eeeeee, jamaa kazaliwa upyaAngalia hiyo we pimbiView attachment 1315998View attachment 1315999
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha kama kifo chake hakikuonyeshwa kwenye vyombo vya habari kwa sababu walizoona zinafaa kwao what if na kwa hawa wa kwenye hizo base mbili imekuwa hivo! Kama iliwezekana na Osama inashindikanaje hapa, si kote mwenye access ya eneo la tukio na Mmarekani?Kwahiyo, unataka kusemaje?
Kwamba Osama hakuuawa?
Obama alidanganya kuhusu kifo chake?
Acha porojo weka picha ya jeneza la Osama na picha za mazishi yake.
Wamekufa wamarekani wengi tu, lakini US na Israel watasema hakuna aliye kufa.
okay wacha USA atuwekee footage ya ISIS leader na mtoto wa bin laden kwanza.
Kuhusu kutunguliwa kwa ndege ya Ukraine.Hivi mnawamini sana USA lini walikuwa wa kweli.
Tunaomba mabaki ya ile F-35 iliyotunguliwa ikiwa njiani kwenda Iran
Iyo habari umeipata wapi?Tunaomba mabaki ya ile F-35 iliyotunguliwa ikiwa njiani kwenda Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
Uharibifu kidogo.
Mara tu baada ya mashambulizi kutekelezwa katika kambi mbili za kijeshi zinazotumika na majeshi ya Marekani nchini Iraq, Rais wa Marekani, Donald Trump alikuwa alihutubie taifa la Marekani kwa mujibu wa taarifa rasmi lakini mara baada ya kikao maalumu na maafisa wa ngazi za juu wa masuala ya ulinzi na usalama katika ikulu ya Marekani, White House alisitisha mpango wa kutoa hotuba hiyo.
Lakini hakuishia hapo bali Trump ali-tweet akisema kuwa;
"Kila kitu kipo sawa, kambi zetu mbili za kijeshi zilizopo Iraq zimeshambuliwa na Iran, tunafanya tathmini kujua kama kuna madhara yaliyopatikana au uharibifu wowote wa mali, yote kwa yote tuna vifaa bora vya kivita kuliko nchi yoyote ile Duniani, kwa mbali! Nitatoa tamko kesho asubuhi"
Mpaka sasa taarifa kutoka Marekani zinadai kuwa hakuna taarifa za vifo kwa wanajeshi wao huku Iraq pia ikisema vivyo hivyo, lakini Iran imedai kuwa mashambulizi yao yamefanikiwa kuwaua wanajeshi wa Marekani. Muda upo na tuendelee kuzisubiri taarifa zaidi hususani baada ya hiyo tathmini.
Ila kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi sidhani kama Marekani atakuwa na haja ya kuyajibu kijeshi mashambulizi hayo kama Pentagon ilivyokuwa ikiweka wazi hapo awali na kama jambo hili ni kweli, basi wachambuzi mbalimbali wa masuala ya kimataifa wanayaita mashambulizi haya yanayotajwa kama "kisasi" yaliyofanywa na jeshi la Iran kama hatua ya kuokoa nyuso zao (save face) mbele ya wananchi na dunia kwa ujumla.
Tuendelee kusubiri!
Mods sidhani kama kuna haja ya kuunganisha huu uzi, ni vyema ukabaki hivi hivi kama ulivyo.
Pia pitia mabandiko haya hapo chini kwa taarifa zaidi:
Iran yatishia kuzishambulia kwa makombora kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati
Jeshi la Iran limesema kuwa limejipanga kutumia makombora ya masafa ya kati na ya mbali kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati ikiwa ni mpango wa kulipa kisasi kutokana na mauaji ya jenerali wa kikosi maalum cha Iran, Qassem Suleiman aliyeuawa na Marekani wiki...www.jamiiforums.com
![]()
Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil
Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...www.jamiiforums.com
Ina ingia kabisa akilini kama jamaawaposehem wamefichwa halaf unataka kuujua umri wangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1][emoji1]What's your point? Hao jamaa wako sehem wamefichwa wanakula nguruwe na pombe???
How old are u?
Kama waliweza kuficha ushahidi wa kuuwawa osama watashindwa watu wao wamuhimu !?.....Majeneza yao una kazi gani nayo?