Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Hivi una taarifa kwamba hapo alipokua anaishi Joshua ni mpakani kabisa na wanatenganishwa na fensi tu.

Na kwamba mtu aliyepo hapo anaweza kumuita mtu aliye upande wa GAZA na akamsikia??

Maana hata Israel/Gaza tu yenyewe wewe hujawahi kufika ni umeshadadia tu utetezi wa usio na mashiko.
 
Umeandika maelezo mengi billa
Kujibu maswali yangu matano.
Nakuuliza moja moja…

Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?
 

Attachments

  • IMG_8276.jpeg
    56.4 KB · Views: 5
Naona unaongea fikra zako wasome Waisrael….
Joshua Mollel, 21, an agricultural intern from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and authorities said his body is being held hostage in Gaza.

Hoja yako ni nini?
 
Sio fikra zangu najaribu kukuelewesha walau upate picha ya eneo.Maana napafahamu pale Mimi.

Maana naona umeuliza kama ni Palestine alifikaje?.Jibu nimekupa kwamba alikua anaishi karibu nao yaani pua na mdomo.

Umeuliza alikua anafanya nini.Jibu ni kwamba serikali Ina mpango wa kupeleka watu kule kule kwa muda wa mwaka mmoja na kina Joshua kundi lilipelekwa kule mwaka huu ni watu 260.
 
N mimi nimekutumia maelezo kutoka Israel wanasema aliuliwa Kibbutz Nahal Oz. ni mbali kidogo na boda nikuulize,

Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?
 

Attachments

  • IMG_8276.jpeg
    56.4 KB · Views: 3
Hamas ndio code yao ipo hivi wale sio hamas waliomuua mollel.
Nimejiuliza na udogo wangu huu...

Jamaa Wanazingatia code ya kutoonekana uso na muonekano tu ukiwaona unajua Hawa ni hamasi.

Wale wa kwenye clip ....mmmm sijui.
Ahsante.
 
Dah
Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?
Nimesoma mara tatu tatu, troy fwa.
Inafikirisha.

Haya majina ya wazungu petre niyobalaa Wamesikia Mollel. wakamujua ni shababu?au juws

UNAFIKIRI wakisikia Nkaburu au Kunambe wange fanya kitu? Petre wangeni mubebesha kwa mugongo bunduki zao tu.
 
Umeandika maelezo mengi billa
Kujibu maswali yangu matano.
Nakuuliza moja moja…

Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?
Mkuu unataka kuniambia kwamba haya maswali yako uliyouliza hanakupa kibali cha kuongea mambo ambayo hauyajui ?

Maswali yako uliyouliza yanakupa kibali cha kuongea uongo na kuufanya uwe ukweli na kwamba uongo huo huo hatutakiei kuupinga ati kwa kuwa kuna maswali umeyauliza ?
 
Unajuwa chanzo cha dini yenyewe lakini? Soma historia kwanza ndipo utajuwa shetani ana nguvu katika jamii
 
taarifa kamili utaipata wapi mkuu wangu?
 
Labda kukusaidia kwenye hili, Hamas wanakawaida ya kushikilia maiti za mateka wa kimaitaifa Kwa lengo la kulazimisha mamlaka za Israel kuwaachilia mateka wao...mfano mdogo ni yule dada wa kijerumani...walimuua juzi na maiti yake kuizungusha mchana kutwa ..wakitaka mateka wao waachiliewe ndio na wao waukabidhi mwili wa huyo mjerumani.

Yote Kwa yote swalo la kujiuliza huyu Joshua , ukijua kabisa uko kwenye nchi ya machafuko, vita Kila dakika...unapata wapi ujasiri wa kutoka mitaani, tena mwenyewe na baiskeli, hujui lugha yoyote zaidi ya kiingereza na kiswahili, hujjui mitaa, hujui nani ni nani....

Mimi nitalaumi waliomuua lakini pia angekuwa hai ningetamani ajibu maswali hayo
 
Unakosea (misconsept) sana ndugu, katika video unayosema wauwaji mmoja wao anaskika akiwaambia wenzie YA SHABAAb, YA SHABAAB yaani akiwaita eny Vijana. Sio kwamba wanamwambia kua yeye ni Al Shabab group member.
 
Unakosea (misconsept) sana ndugu, katika video unayosema wauwaji mmoja wao anaskika akiwaambia wenzie YA SHABAAb, YA SHABAAB yaani akiwaita eny Vijana. Sio kwamba wanamwambia kua yeye ni Al Shabab group member.
Ndicho nilichomuhoji huyo jamaa.

Yule jamaa alikuwa akiwaita wale vijana wenzie na kuwaambia "laa baacha ya shabaab" na kana kwamba alikuwa akiwaambia wafanye kitu tofauti na kile ambacho wanakifanya.

Sijajua maana ya hili neno "laa baacha" ila nadhani jamaa alikuwa anawaambia wenzie wamkamate wamfunge sehemu kwanza kuliko vile wanavyomshambulia kila mmoja anauliza kwa hasira mpaka mtanzania amechanganyikiwa.

Nadhani yule jamaa alitaka wamfunge sehemu kisha wamhoji kwa uzuri na utaratibu.

Yote kwa yote nami binafsi nawalaani waliomuua ndugu yetu mtanzania na Mungu awanyooshe.
 
Kwa video hii Watanzania wameujua kwa undani nini maana ya uislam.. kuwa ni ushetani, chuki , roho mbaya na Allah ndie iblis mwenyewe na yote kwenye Koran yaliyoandikwa kuwa Muslims wote ni motoni Allah kajiapiza ni kweli na ile aya kiwa Muslim asipofanya makosa atabadilishwa aletwe binadamu mwingine kuna kaukweli
 
 
 
Unakosea (misconsept) sana ndugu, katika video unayosema wauwaji mmoja wao anaskika akiwaambia wenzie YA SHABAAb, YA SHABAAB yaani akiwaita eny Vijana. Sio kwamba wanamwambia kua yeye ni Al Shabab group member.
Nimeuliza maswali matano naomba ujibu, unaweza kutunga sentesi kutumia hilo neno unaolisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…