Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Kuna suala pia la kuuliza, Jee Joshua alikwenda Israel au Pelestine kwa masomo ?
Video inaonesha akiuliwa kwenye ardhi ya Palestine na siyo Israel, jee alifikaje hapo na baiskeli na alikuwa akifanya nini Palestine ? Au Hapo anapouliwa na Israel. Kama ni Israel mbona Hamas wamemchagua yeye mweusi wakati pembeni tunaona kuna watu wengine hawana hata wasiwasi wanatembea zao.
Hivi una taarifa kwamba hapo alipokua anaishi Joshua ni mpakani kabisa na wanatenganishwa na fensi tu.

Na kwamba mtu aliyepo hapo anaweza kumuita mtu aliye upande wa GAZA na akamsikia??

Maana hata Israel/Gaza tu yenyewe wewe hujawahi kufika ni umeshadadia tu utetezi wa usio na mashiko.
 
Mkuu kwanza sio kweli

Sio kweli kwamba wanamuuliza kama ni mhusika wa alshabaab.

Huyo jamaa anayerekodi kuna sentensi anaitamka anasema "laa ba'ach ya shabaab"

Ilitaka kufanana na neno la kiarabu "laa ba'sa" lenye maana ya "hakuna ubaya.

Laiti ingelikuwa neno lile la kwenye clip ndio hili yaani "laa ba'sa" basi maana nzima ya senstenis ile ingekuwa ni "HAKUNA UBAYA ENYI VIJANA" sasa maana yake ingekuwa jamaa anawaambia wenzake kwamba sio mbaya munavyomfanya.

Ils neno hilo la kwenye clip linalosikika kama "laa ba'ach" maana yake haiko wazi na hata kwa kiarabu binafsi nimejaribu kutafuta sijapata labda ni lugha ama neno ambalo limetoholewa kihuko.

Lakini pia ulivyosikia neno shabaab unadhani kwamba anaulizwa kama ni mtu wa alshabaab ? Kwa kuwa umesikia neno shabaab,HAOANA SIO KWELI.

ingelikuwa hivyo tungesikia neno shaaaabbun ambalo ni umoja wa neno alshabaabu na neno hilo la shaaaabbu lina maana ya kijana,hivyo kwa kuwa alikuwa peke yake tulitarajia tusikie akiulizwa kwa umoja na sio kwa uwingi.

Lakini pia hakuna sehemu ambayo kuna senstensi ya kiarabu imesikika ikimaanisha kuulizwa kwa maana ya hakuna sehemu iliposikika mtu akiuliza kwamba "wewe ni kafika watu wa alshababu?"

Bali ulichokisikia mtoa mada ni hilo neno shabaab ndio ukaamua kuwa mkalimani,nadhani uje na ushahidi wa unayoyasema.

Weka sentesni yote ambayo unadai ilikuwa ikimuuliza huyo kijana kama ni mtu wa alshabaab.

Pia weka hiyo senstensi ambayo ikisema ama kumaanisha kuuliza " mmetushambulia"?

Liko wapi neno lenye maana ya "kutushambulia katika hiyo clip"?
Umeandika maelezo mengi billa
Kujibu maswali yangu matano.
Nakuuliza moja moja…

Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?
 
Attachments

  • IMG_8276.jpeg
    IMG_8276.jpeg
    56.4 KB · Views: 5
Hivi una taarifa kwamba hapo alipokua anaishi Joshua ni mpakani kabisa na wanatenganishwa na fensi tu.

Na kwamba mtu aliyepo hapo anaweza kumuita mtu aliye upande wa GAZA na akamsikia??

Maana hata Israel/Gaza tu yenyewe wewe hujawahi kufika ni umeshadadia tu utetezi wa usio na mashiko.
Naona unaongea fikra zako wasome Waisrael….
Joshua Mollel, 21, an agricultural intern from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and authorities said his body is being held hostage in Gaza.

Hoja yako ni nini?
 
Sio fikra zangu najaribu kukuelewesha walau upate picha ya eneo.Maana napafahamu pale Mimi.

Maana naona umeuliza kama ni Palestine alifikaje?.Jibu nimekupa kwamba alikua anaishi karibu nao yaani pua na mdomo.

Umeuliza alikua anafanya nini.Jibu ni kwamba serikali Ina mpango wa kupeleka watu kule kule kwa muda wa mwaka mmoja na kina Joshua kundi lilipelekwa kule mwaka huu ni watu 260.
 
N mimi nimekutumia maelezo kutoka Israel wanasema aliuliwa Kibbutz Nahal Oz. ni mbali kidogo na boda nikuulize,

Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?
 
Attachments

  • IMG_8276.jpeg
    IMG_8276.jpeg
    56.4 KB · Views: 3
Hamas ndio code yao ipo hivi wale sio hamas waliomuua mollel.
Nimejiuliza na udogo wangu huu...

Jamaa Wanazingatia code ya kutoonekana uso na muonekano tu ukiwaona unajua Hawa ni hamasi.

Wale wa kwenye clip ....mmmm sijui.
Ahsante.
 
Dah
Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?
Nimesoma mara tatu tatu, troy fwa.
Inafikirisha.

Haya majina ya wazungu petre niyobalaa Wamesikia Mollel. wakamujua ni shababu?au juws

UNAFIKIRI wakisikia Nkaburu au Kunambe wange fanya kitu? Petre wangeni mubebesha kwa mugongo bunduki zao tu.
 
Umeandika maelezo mengi billa
Kujibu maswali yangu matano.
Nakuuliza moja moja…

Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?
Mkuu unataka kuniambia kwamba haya maswali yako uliyouliza hanakupa kibali cha kuongea mambo ambayo hauyajui ?

Maswali yako uliyouliza yanakupa kibali cha kuongea uongo na kuufanya uwe ukweli na kwamba uongo huo huo hatutakiei kuupinga ati kwa kuwa kuna maswali umeyauliza ?
 
Wanaukumbi.

#JoshuaMollel:

👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”?

Nina maswali:

1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

2) Kwenye video kwa Kiarabu wanasema “Mmetushambulia” yaani Hamas walioenda kufanya Tukio la kigaidi wamwambie Joshua mmetushambulia?

3) 👉🏽Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?

4) Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?

5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.

Tuache kuwa Mbayuwayu, Mungu ametupa akili tuzitumie jamani, tutafute ukweli, video aliyeirekodi na kuiachia alitaka kupindisha ukweli.

Tutafute ukweli juu ya mauji ya kinyama ya Joshua. Tuishurutishe serikali kutafuta ukweli.

Jarida la Time of Israel liliandika hivi…

Joshua Mollel, 21, an agricultural student from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and officials said his body was being held hostage in Gaza.
===============
Joshua Mollel, 21, mwanafunzi wa kilimo kutoka Tanzania, alitekwa nyara na magaidi wa Hamas mnamo Oktoba 7 kutoka Kibbutz Nahal Oz. Mnamo Desemba 13, kifo chake kilithibitishwa, na maafisa walisema mwili wake ulikuwa umewekwa mateka huko Gaza.

Kwa hiyo mwili wa Joshua bado upo Gaza.
Unajuwa chanzo cha dini yenyewe lakini? Soma historia kwanza ndipo utajuwa shetani ana nguvu katika jamii
 
Kwanza hatuna uhakika kwamba ile video ni ya joshua tuache mihemuko , kama waliweza kukaa na mateka wa israel siku zote hizo na mateka wameachiwa wakiwa hai na kusema walitendewa haki na kuheshimiwa kwanini wamtese au kumuua mtanzania tutulie wakati tunapata taarifa kamili
taarifa kamili utaipata wapi mkuu wangu?
 
Kuna uwezekano mkubwa hili tukio lilipangwa ili kufanya waungwe mkono na watu weusi.
Haiingii akilini eti Hamas waue mtu ambaye hata sio Muisrael huku wakifanya recording nzuri hivyo. Kwa wenye akili na maarifa wanaweza kujua kuwa, hii kitu ilifanywa purposely. Hivi inakuingia akilini kuwa Hamas wamemuua mtu ambaye hata hafahamiki halafu waamue kuingia gharama ya kuhifadhi mwili wake tena kipindi hiki cha vita?
Kwa nini Askari wa Israel walio uwawa na Hamas waachwe huko barabarani ila huyu mweusi ambaye hata hafamiki ahifadhiwe? Kuna kitu kimefichwa hapa; wasituone watu weusi ni wajinga wa kufikiri!
Labda kukusaidia kwenye hili, Hamas wanakawaida ya kushikilia maiti za mateka wa kimaitaifa Kwa lengo la kulazimisha mamlaka za Israel kuwaachilia mateka wao...mfano mdogo ni yule dada wa kijerumani...walimuua juzi na maiti yake kuizungusha mchana kutwa ..wakitaka mateka wao waachiliewe ndio na wao waukabidhi mwili wa huyo mjerumani.

Yote Kwa yote swalo la kujiuliza huyu Joshua , ukijua kabisa uko kwenye nchi ya machafuko, vita Kila dakika...unapata wapi ujasiri wa kutoka mitaani, tena mwenyewe na baiskeli, hujui lugha yoyote zaidi ya kiingereza na kiswahili, hujjui mitaa, hujui nani ni nani....

Mimi nitalaumi waliomuua lakini pia angekuwa hai ningetamani ajibu maswali hayo
 
Wanaukumbi.

#JoshuaMollel:

[emoji1428]Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”?

Nina maswali:

1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

2) Kwenye video kwa Kiarabu wanasema “Mmetushambulia” yaani Hamas walioenda kufanya Tukio la kigaidi wamwambie Joshua mmetushambulia?

3) [emoji1428]Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?

4) Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?

5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.

Tuache kuwa Mbayuwayu, Mungu ametupa akili tuzitumie jamani, tutafute ukweli, video aliyeirekodi na kuiachia alitaka kupindisha ukweli.

Tutafute ukweli juu ya mauji ya kinyama ya Joshua. Tuishurutishe serikali kutafuta ukweli.

Jarida la Time of Israel liliandika hivi…

Joshua Mollel, 21, an agricultural student from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and officials said his body was being held hostage in Gaza.
===============
Joshua Mollel, 21, mwanafunzi wa kilimo kutoka Tanzania, alitekwa nyara na magaidi wa Hamas mnamo Oktoba 7 kutoka Kibbutz Nahal Oz. Mnamo Desemba 13, kifo chake kilithibitishwa, na maafisa walisema mwili wake ulikuwa umewekwa mateka huko Gaza.

Kwa hiyo mwili wa Joshua bado upo Gaza.
Unakosea (misconsept) sana ndugu, katika video unayosema wauwaji mmoja wao anaskika akiwaambia wenzie YA SHABAAb, YA SHABAAB yaani akiwaita eny Vijana. Sio kwamba wanamwambia kua yeye ni Al Shabab group member.
 
Ndicho nilichomuhoji huyo jamaa.

Yule jamaa alikuwa akiwaita wale vijana wenzie na kuwaambia "laa baacha ya shabaab" na kana kwamba alikuwa akiwaambia wafanye kitu tofauti na kile ambacho wanakifanya.

Sijajua maana ya hili neno "laa baacha" ila nadhani jamaa alikuwa anawaambia wenzie wamkamate wamfunge sehemu kwanza kuliko vile wanavyomshambulia kila mmoja anauliza kwa hasira mpaka mtanzania amechanganyikiwa.

Nadhani yule jamaa alitaka wamfunge sehemu kisha wamhoji kwa uzuri na utaratibu.

Yote kwa yote nami binafsi nawalaani waliomuua ndugu yetu mtanzania na Mungu awanyooshe.
 
Kwa video hii Watanzania wameujua kwa undani nini maana ya uislam.. kuwa ni ushetani, chuki , roho mbaya na Allah ndie iblis mwenyewe na yote kwenye Koran yaliyoandikwa kuwa Muslims wote ni motoni Allah kajiapiza ni kweli na ile aya kiwa Muslim asipofanya makosa atabadilishwa aletwe binadamu mwingine kuna kaukweli
 
Kuna uwezekano mkubwa hili tukio lilipangwa ili kufanya waungwe mkono na watu weusi.
Haiingii akilini eti Hamas waue mtu ambaye hata sio Muisrael huku wakifanya recording nzuri hivyo. Kwa wenye akili na maarifa wanaweza kujua kuwa, hii kitu ilifanywa purposely. Hivi inakuingia akilini kuwa Hamas wamemuua mtu ambaye hata hafahamiki halafu waamue kuingia gharama ya kuhifadhi mwili wake tena kipindi hiki cha vita?
Kwa nini Askari wa Israel walio uwawa na Hamas waachwe huko barabarani ila huyu mweusi ambaye hata hafamiki ahifadhiwe? Kuna kitu kimefichwa hapa; wasituone watu weusi ni wajinga wa kufikiri!
 
Kuna uwezekano mkubwa hili tukio lilipangwa ili kufanya waungwe mkono na watu weusi.
Haiingii akilini eti Hamas waue mtu ambaye hata sio Muisrael huku wakifanya recording nzuri hivyo. Kwa wenye akili na maarifa wanaweza kujua kuwa, hii kitu ilifanywa purposely. Hivi ngombe
 
Unakosea (misconsept) sana ndugu, katika video unayosema wauwaji mmoja wao anaskika akiwaambia wenzie YA SHABAAb, YA SHABAAB yaani akiwaita eny Vijana. Sio kwamba wanamwambia kua yeye ni Al Shabab group member.
Nimeuliza maswali matano naomba ujibu, unaweza kutunga sentesi kutumia hilo neno unaolisema.
 
Back
Top Bottom