Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Kwa video hii Watanzania wameujua kwa undani nini maana ya uislam.. kuwa ni ushetani, chuki , roho mbaya na Allah ndie iblis mwenyewe na yote kwenye Koran yaliyoandikwa kuwa Muslims wote ni motoni Allah kajiapiza ni kweli na ile aya kiwa Muslim asipofanya makosa atabadilishwa aletwe binadamu mwingine kuna kaukweli
Sema wewe na wenzako wachache mliojaa chuki ambayo haitowasaidia chochote, pope kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja amewaita idf terrorist kwa kusema wanatumia terrorist tacticts kwenye vita yao kwa ufupi israel imeshaanza kupoteza muelekeo na imeshapoteza huruma na support ya kimataifa iliyokuwa inaipata na hapo ndio ukuu wa mungu unaonekana
SOma hiyo kutoka voice of america
 

Attachments

  • Screenshot_20231219-083338_Chrome.jpg
    Screenshot_20231219-083338_Chrome.jpg
    146.7 KB · Views: 2
Wanaukumbi.

#JoshuaMollel:

👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”?

Nina maswali:

1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

2) Kwenye video kwa Kiarabu wanasema “Mmetushambulia” yaani Hamas walioenda kufanya Tukio la kigaidi wamwambie Joshua mmetushambulia?

3) 👉🏽Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?

4) Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?

5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.

Tuache kuwa Mbayuwayu, Mungu ametupa akili tuzitumie jamani, tutafute ukweli, video aliyeirekodi na kuiachia alitaka kupindisha ukweli.

Tutafute ukweli juu ya mauji ya kinyama ya Joshua. Tuishurutishe serikali kutafuta ukweli.

Jarida la Time of Israel liliandika hivi…

Joshua Mollel, 21, an agricultural student from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and officials said his body was being held hostage in Gaza.
===============
Joshua Mollel, 21, mwanafunzi wa kilimo kutoka Tanzania, alitekwa nyara na magaidi wa Hamas mnamo Oktoba 7 kutoka Kibbutz Nahal Oz. Mnamo Desemba 13, kifo chake kilithibitishwa, na maafisa walisema mwili wake ulikuwa umewekwa mateka huko Gaza.

Kwa hiyo mwili wa Joshua bado upo Gaza.
Kama waliosoma nae wamethibitisha ndie joshua huyo wewe unapinga ya nn?
 
Kuna suala pia la kuuliza, Jee Joshua alikwenda Israel au Pelestine kwa masomo ?
Video inaonesha akiuliwa kwenye ardhi ya Palestine na siyo Israel, jee alifikaje hapo na baiskeli na alikuwa akifanya nini Palestine ? Au Hapo anapouliwa na Israel. Kama ni Israel mbona Hamas wamemchagua yeye mweusi wakati pembeni tunaona kuna watu wengine hawana hata wasiwasi wanatembea zao.
Hamas wameshasema ni kwa nini wanaua wageni
 
Hamas wameshasema ni kwa nini wanaua wageni
Unamezeshwa propqganda unameza tu toka lini habari za Hamas ukazipata kwenye vyombo vya magharibi niwekee kauli ya kiongozi wa Hamas hapa ukiniwekea najitoa JF.
 
Acha mihemko Je na hao watembea kwa miguu pembeni nao walitekwa Hamas baada ya Joshua.
We pimbi nini kwani hao wanaotembea kwa miguu hawawezi kua wapalestine wenzao na hamas, hoja na maswali yako ya kifala
 
Umeandika maelezo mengi billa
Kujibu maswali yangu matano.
Nakuuliza moja moja…

Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?
Hao wanaopita kwa miguu ni waisrael??umejuaje au hiyo baiskeli ni ya Joshua?umejuaje?hapo tukio linapofanyika la mauaji ni ardhi ya Israel??umejuaje
 
Hao wanaopita kwa miguu ni waisrael??umejuaje au hiyo baiskeli ni ya Joshua?umejuaje?hapo tukio linapofanyika la mauaji ni ardhi ya Israel??umejuaje
Kasome ripotii ya Israel wamesema hapo ni Kibbutz Nahal Oz. israel
 
Kwa video hii Watanzania wameujua kwa undani nini maana ya uislam.. kuwa ni ushetani, chuki , roho mbaya na Allah ndie iblis mwenyewe na yote kwenye Koran yaliyoandikwa kuwa Muslims wote ni motoni Allah kajiapiza ni kweli na ile aya kiwa Muslim asipofanya makosa atabadilishwa aletwe binadamu mwingine kuna kaukweli
Ramba ndimu mzayuni wa jf
 
Back
Top Bottom