Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
KUNA WATU WATOTO WAO WANA BAJETI YA TANZANIA YA MWAKA. mtoto anazaliwa mara kitanda cha mtoto ,mara cha kumbembelezea ,mara cha kumbadilishia ,mara cha kumlishia budget m 5 huko vitu vyenyewe hata mwaka hatumii.mimi nitalala na mtoto wangu hata kama ni chini. mtoto akipandisha joto hyuoo kwa dokta nani sijui aga khan bill laki tano. si ununue kipima joto cha mtoto ? mavyakula ya makopo sasa , mtoto anaishi na mabox 24/7.pampas budget ya mwezi laki tatu kwa hela gani jamani hapa bongo.bora ununue kanga uchane na mifuko ya rambo .