Kama hamkubali mtoto wako Acha tu haitabadilisha kitu.

Kusema ukweli haya ma disposable ni suspends nikiwa safarini tu lakini home ninapenda nappy za taulo zile za kufunga na pini. Tena ninakinga maji ya mvua kufulia hata jua lisipotoka ukiweka baraza ya nyuma upepo unakausha

aanhaaaaa........kumbe umeacha 'ka mchezo' kwasababu hii labda!
 
Nilimvalisha mwanangu diaper mwaka mzima hakuwa na tatizo lolote wala hakuwahi kuungua. Baada ya mwaka nikarudi kazini, mtoto nampeleka kindergarten, hiyo wiki mtoto aliungua vibaya mno, niliona kazi chungu. Sio brand tu, diaper si ya kukaa masaa 24 jamani, ikijaa abadilishwe ila sasa tunapokuwa makazini mtoto yuko na dada ni changamoto! Nilimbeba mtoto wa jirani yangu mmoja, diaper imejaa mkojo utafikiri kabeba urojo, mtoto ataachaje kuungua? Pili, kina mama tununue good nappy cream kwa watoto inasaidia sana, mi nilikuwa nampaka mtoto na pia naipaka nappy kidogo and we are good!
 
Good kulea si kila mtu anaweza .
 
Mwanangu nilimfunga nepi kuanzia uchanga, alipoweza kukaa tu nikawa namvisha vikaptula, simfungi tena labda usiku,tena ni kwa siku za baridi tu..siku nyingine namtandikia mpira,

Nawashangaa sana wanaowafungafunga watoto, eti mtoto wa mwaka anashinda na midiaper au nepi, tuwaache wapumue.....kama hutaki mikojo ulizalia nini?
 
Back
Top Bottom