Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Limeniangukia jumatatuZALI LA MENTALI
Hongera mkuuzipo chupi za mkojo fulani hivi wengi wanapenda kuziita pumpers za kufua nzuri sana mimi nilimnunulia zile ishirini mtoto alivaa diaper usiku tu alafu hata kufua nepi sio kazi kama kweli ulijiandaa kuwa mzazi kwanza hakuna raha kama kulea mwanao,mimi mpaka leo na ubaba wangu nafua nguo za watoto nikiwa na time kipindi cha uchanga wao nimefua sana nepi kiroho safi tu..Nacho zungumza hapa niukweli wala simajivuno au story za furahisha genge
inategemea na sabuniWanakwambia mikono inaharibika na maji huko kufua fua kila siku, mwezi watatu huu nafua asubuhi nafua jioni sioni hata mchubuko.
hongera ila sitomfulisha mume wangu boxer au nguo za watoto labda niwe mgonjwa.nafasi ya baba itabaki kuwa ya babazipo chupi za mkojo fulani hivi wengi wanapenda kuziita pumpers za kufua nzuri sana mimi nilimnunulia zile ishirini mtoto alivaa diaper usiku tu alafu hata kufua nepi sio kazi kama kweli ulijiandaa kuwa mzazi kwanza hakuna raha kama kulea mwanao,mimi mpaka leo na ubaba wangu nafua nguo za watoto nikiwa na time kipindi cha uchanga wao nimefua sana nepi kiroho safi tu..Nacho zungumza hapa niukweli wala simajivuno au story za furahisha genge
tunapenda uzungu ambao hautupendi ukiwa wauliza tu wengi hivi mlipanga na mwenza kupata huyo mtoto utasikia story za kuungaunga nyingi,leo tunazaa na safari za kwenda kuwatibisha watoto uti nikila sikuHongera mkuu
mimi sifulishwi dear ila kunamuda huwa najisikia kufanya hvyo,sio kufua tu hata kusafisha choo,kuosha vyombo usafi wa nyumba mara moja kwa mwezi miezi sio mbayahongera ila sitomfulisha mume wangu boxer au nguo za watoto labda niwe mgonjwa.nafasi ya baba itabaki kuwa ya baba
Ha ha ha nimewaambiaWaambie hao wamama wenzio,
mmekuwa na roho mbaya kwa watoto wenu kama nini vile;
na hivi mnazaa kwa kisu hata uchungu wa kuzaa huujui ndo basi tena;
mama yuko bize kuliko hata wale watafiti wa makenikia;
Kama mikono mibovu mibovu tuWanakwambia mikono inaharibika na maji huko kufua fua kila siku, mwezi watatu huu nafua asubuhi nafua jioni sioni hata mchubuko.
Wengi wanawatafutia watoto matatizo wakidhani ndiyo upendoKUNA WATU WATOTO WAO WANA BAJETI YA TANZANIA YA MWAKA. mtoto anazaliwa mara kitanda cha mtoto ,mara cha kumbembelezea ,mara cha kumbadilishia ,mara cha kumlishia budget m 5 huko vitu vyenyewe hata mwaka hatumii.mimi nitalala na mtoto wangu hata kama ni chini. mtoto akipandisha joto hyuoo kwa dokta nani sijui aga khan bill laki tano. si ununue kipima joto cha mtoto ? mavyakula ya makopo sasa , mtoto anaishi na mabox 24/7.pampas budget ya mwezi laki tatu kwa hela gani jamani hapa bongo.bora ununue kanga uchane na mifuko ya rambo .
Sawa mkuusi tunapenda kuiga kila kitu,,,,,,, nashauri watoto wa kiume msiwavalishe kabisa....
Asante mpenzi msalimie totoMe mwanangu namvalisha tukiwa tuna safari tena ya mkoani miss chagga asante mama umesema kweli
Ila pia unaonekana una mke mstarabu mwingine angekuwa ameshakuwekea hadi zamumimi sifulishwi dear ila kunamuda huwa najisikia kufanya hvyo,sio kufua tu hata kusafisha choo,kuosha vyombo usafi wa nyumba mara moja kwa mwezi miezi sio mbaya
haaaha nikweli lakini ni maisha aliyonikuta nayo tangu naanza kumtorosha kumficha geto kwa kiswahili kipya,Ila pia unaonekana una mke mstarabu mwingine angekuwa ameshakuwekea hadi zamu
Asante mpenzi zimefikaAsante mpenzi msalimie toto