Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Ila Wana option ya kuifufua bila makato pia, kabla ya kuweka unakwenda bank na utaanza na process ya kuleta picha na barua toka serikali ya mtaa Kisha wanai-activate na unadumbukiza mshiko.Account ikiwa domant then siku ukaamua iendelee kuitumia kinachofanyika wanakata monthly charges zote za miezi yote uliyo Dodge
Si sio afya Kwa kuirudia Tena kama ulidodge miaka 5
Let say monthly charges 2700×5×12
So utaona gharam ni kiasi gan
Kuhusu kulipwa mshahara bank A iliyopo Tanzania na ww inafanya kazi nchi ya ughaibuni nayo pia ni gharam kubwa kwako kui endesha hiyo account at the same time kui maintain
Chukulia mfano unaishi south Africa currency Yao Rand na unalipwa Kwa Rand then account Yako huk nyumbni ni Tsh
So gharama zitakiwa kubwa na utashidwa kuzimud
Then hakuna campun itakubali kulipa amount kwenda nchi nyingine coz utakuwa unakimbia Payee
Na isitoshe campuni nyingi zinalipa mishahara Kwa internet banking system so kwao ni changamoto
Ila kama una mshiko unadumbukiza