Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi .
Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo .
Kama kuna watu wanafanikiwa katika huu huu utawala mbovu wa CCM basi ni vizuri tukasikiliza ushauri wa kupenda kufanya kazi.