Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Hayo yanahusianaje na alichotamka ?Kwanza atwambia cheo alichonacho kipo katika katiba? Kama akipo akiache mara moja maana ataenda kuichoma moto katiba kabisa. Arafu tuna mashaka na watu wa Geita na kahama warundi na wanyarwanda ni wengi sana atupe uhakika wa historia ya wazazi wake.
M bongo halisiExtremely dumb advice.
Akupe wewe na kina nani? Acha upuuzi.Kwanza atwambia cheo alichonacho kipo katika katiba? Kama akipo akiache mara moja maana ataenda kuichoma moto katiba kabisa. Arafu tuna mashaka na watu wa Geita na kahama warundi na wanyarwanda ni wengi sana atupe uhakika wa historia ya wazazi wake.
Just dumb.M bongo halisi
Wewe ama huelewi haki ya kikatiba na kiutu ya uhuru wa kujieleza, ama unaielewa na umeanua kwa makusudi kuwaziba watu midomo.Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi .
Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo .
Kama kuna watu wanafanikiwa katika huu huu utawala mbovu wa CCM basi ni vizuri tukasikiliza ushauri wa kupenda kufanya kazi.
View attachment 3115899
Mtu kashikilia sahani la pilau anakula, anakwambia wewe ufunge kula ili yeye ale vizuri bila usumbufu.Pale mwanasiasa anaposhauri tuachane na siasa!😂🤣
Ukweli mchungu eeehAkupe wewe na kina nani? Acha upuuzi.
Acha utotoJust dumb.
Hatari sana... Yeye anashiba kwa nguvu zako alafu anakuaminisha kuwa njaa ni nzuri kwa afya!Mtu kashikilia sahani la pilau anakula, anakwambia wewe ufunge kula ili yeye ale vizuri bila usumbufu.
Kwani biteko kaanza kuwa na pesa nyingi leo ?Hatari sana... Yeye anashiba kwa nguvu zako alafu anakuaminisha kuwa njaa ni nzuri kwa afya!
Tatizo si lini kaanza kuwa na pesa nyingi. Bali ni jinsi wanasiasa wanapumbaza wananchi wakae mbali na siasa kwa manufaa ya wachache.Kwani biteko kaanza kuwa na pesa nyingi leo ?
Ungemsikiliza hapo vizuri ungemuelewa sanaTatizo si lini kaanza kuwa na pesa nyingi. Bali ni jinsi wanasiasa wanapumbaza wananchi wakae mbali na siasa kwa manufaa ya wachache.
Kifupi, Tanzania siasa inalipa kuliko ajira au biashara
Itakusaidia nini wewe na familia yako?? Au ukishajua utaletewa kiroba cha unga??Kwanza atwambia cheo alichonacho kipo katika katiba? Kama akipo akiache mara moja maana ataenda kuichoma moto katiba kabisa. Arafu tuna mashaka na watu wa Geita na kahama warundi na wanyarwanda ni wengi sana atupe uhakika wa historia ya wazazi wake.