chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Dec 20, 2024 #1 Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Dec 20, 2024 #2 Ccm binafsi walimchangia Million 5 Kama unakumbuka Kwahiyo pikipiki ya SUN-LG imefikia million tano?
Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,915 Reaction score 2,050 Dec 20, 2024 #3 Usitupangie.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Dec 20, 2024 #4 chiembe said: Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura? Click to expand... Kura is free mchango ni pesa
chiembe said: Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura? Click to expand... Kura is free mchango ni pesa
H HIKARI JF-Expert Member Joined Aug 7, 2022 Posts 643 Reaction score 804 Dec 20, 2024 #5 chiembe said: Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura? Click to expand... Senti Moja ni 'nzito' kuliko kura 1 au 10 au hata 100 nk.
chiembe said: Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura? Click to expand... Senti Moja ni 'nzito' kuliko kura 1 au 10 au hata 100 nk.
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,766 Reaction score 8,959 Dec 20, 2024 #6 Unapata shida ukiwa wapi? Mmekula hamjashiba bado? Mwacheni mwenzenu nae zamu yake