Kama hatutasikilizwa kama walivyoziba masikio kwenye sakata la Loliondo na Ngorongoro tunafanyaje?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.

Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
 
Ilo swala halipo ivi unajua unachokipigania? Kwwajili ya nani??
 
Suala la kwanza ni elimu kwa umma. Hapo ulipo print nakala kadhaa za mkataba wa bandari, weka pia nukuu za wachambuzi mbalimbali wauzie RAIA wakajisomea. Tunahitaji kila mtu ajue ubaya wa mkataba huu.
 
Na sio ubaya pekee mkuu
 
Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.

Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
Kweli.
Lazima tuwe na plan na mkakati wa kulimaliza hili.

Ile kauli, kwamba, "nimeziba masikio na kiongozi namba moja, ina viashiria hivyo hivyo".

Sasa usikute kina Msoga, wanamwambia wewe tulia, watanyamaza hawa, tunawajua. Si uliona Mtwara gesi ilitoka.

Mimi nafikiri wasipotusikiliza. Tuwatishe!
 
Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.

Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
Huna kazi ya kufanya we mbwa? Au umeshalipwa kazi yako ni kushinda na kukesha humu JF kuleta takataka zako hizi za kizushi? We mbumbumbu hakuna unaloweza kufanya kuzuia mambo makubwa anayoyafanya mama yetu mpendwa. Akili yako yenyewe imeshastafu
 
Nchi nzima, mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, kata kwa kata, kijiji kwa kijiji👇👇👇👇👇👇👇👇
 
Attachments

  • IMG_0976.MP4
    2 MB
UNAJUA MKUU HILI SIO LA KISIASA!

HAPA WAKIPATIKANA WATANGANYIKA WENYE USHAWISHI mfano ( MBOWE, LISSU, SHIVJI, SLAA, MPINA, NA NDUGAI)

TUKAWEKA MASIASA NA MAMBO YA DINI PEMBENI,

TUKAUVAA NA KUUNGANISHWA NA UTANGANYIKA WETU,

WAKAJIGAWA KWENYE MIKOA MIKUBWA MITANO YA TANGANYIKA YETU,

KISHA WAKATANGAZA TAREHE MOJA YA KUKINUKISHA BARABARANI,

NAKUHAKIKISHIA PAMOJA NA NGUVU KUBWA INAYOTUMIKA KUTUWAGAWA WATANGANYIKA KWA DINI ZETU ILI WAFANIKISHE MALENGO YAO!!

LAKINI WATANGANYIKA HUKU MITAANI WANAMACHUNGU SANA NA BANDARI ZAO

MKUU UTASHANGAA HATA WAJEDA WATAKAOTUMWA NA MABOMU WAKIFIKA BARABARANI WAKAKUTA NI MAANDAMANO YA KUDAI MALI ZA WATANGANYIKA.!

NAKUHAKIKISHIA BADALA YA KUPIGA MABOMU NA KUTUMWAGIA MAJI WASHA,

WATAISHIA KUTULINDA TU!!

TUNAIPENDA TANGANYIKA YETU[emoji3590][emoji3590]
 
Nchi nzima, mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, kata kwa kata, kijiji kwa kijiji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kwa kuanzia sio mbaya!!

LAKINI HII KITU INATAKIWA IFANYIKE KWA PAMOJA MIKOA YOTE YA TANGANYIKA!!

mfano TUKIAMUA TAREHE KUMI MWEZI WA SABA KUANZIA SAA NNE ASUBUHI BASI TANGANYIKA NZIMA INAPATA UJUMBE!!
 
Huna kazi ya kufanya we mbwa? Au umeshalipwa kazi yako ni kushinda na kukesha humu JF kuleta takataka zako hizi za kizushi? We mbumbumbu hakuna unaloweza kufanya kuzuia mambo makubwa anayoyafanya mama yetu mpendwa. Akili yako yenyewe imeshastafu
Mbwa mama yako
 
Back
Top Bottom