Kama hatutasikilizwa kama walivyoziba masikio kwenye sakata la Loliondo na Ngorongoro tunafanyaje?

Kama hatutasikilizwa kama walivyoziba masikio kwenye sakata la Loliondo na Ngorongoro tunafanyaje?

Hawa tukiwafungia kwa maombi siku 7, kwisha habari yao.
Vita vinhine ni kumshitakia Mungu.

Unamfuta Samia kwenye Siasa za Tanzania.
Kuna wakati nilitamka kuwa...namfuta Ndugai kwenye siasa za Tanzania...hiyo komenti ilidhihakiwa sana.

Yako wapi sasa?
Fanyeni basi.
Mnajitisha wenyewe
 
Waoga tu nyie.
Povu jiiingi humu lkn actions zero.
Anzeni basi tuona. Tokea mmeanza kuchomba mkwara hatujaona au kusikia chochote cha maana
Njoo mbele yangu uweke hiyo nyama yako kama sijakupitia...
 
Njoo mbele yangu uweke hiyo nyama yako kama sijakupitia...
Kumbe kelele zote waniwinda mie tu!
Basi huna maana unadanganya wajinga humu. Mi nlidhani unataka kupambania bandari
 
Kumbe kelele zote waniwinda mie tu!
Basi huna maana unadanganya wajinga humu. Mi nlidhani unataka kupambania bandari
Wewe tega taqo ndio ujue...
 
Inabidi tukubaliane mapema kabisa ili tujue cha kufanya maana haya mafisadi yanasubiri tukikaa kimya yaendelee kutupiga kama kawaida yao.
 
Huyo wa kusoma sasa!
Kusoma watasoma, wasiwasi wangu ni kuwa serikali itavisaka kwa udi na uvumba. Haitaweza kuruhusu RAIA wawe na kijitabu kimeandikwa "Mkataba wa kuiuza Tanganyika kati ya Chifu Mkuu na Sultan wa Dubai"
 
Yes,vsuala hili linapewa msukumo na jeiri na Msoga na RA
 
Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.

Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
Wasipo tuskiliza tunalipeleka kwa mahakama ya Mungu,
 
Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.

Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
Hatuna cha kufanya mzee hii nchi ni ya kwao hapa JFs tu wametuazima tupigie soga tu.
 
Kweli.
Lazima tuwe na plan na mkakati wa kulimaliza hili.

Ile kauli, kwamba, "nimeziba masikio na kiongozi namba moja, ina viashiria hivyo hivyo".

Sasa usikute kina Msoga, wanamwambia wewe tulia, watanyamaza hawa, tunawajua. Si uliona Mtwara gesi ilitoka.

Mimi nafikiri wasipotusikiliza. Tuwatishe!
Hakuna kuwatisha! Wananchi tuamke tudai bandari yetu,then tudai katiba mpya itakayotuletea viongozi makini.
 
Tunavyosema enjoy maisha sio kwamba sijui umuimu wa siasa la hasha najua sana siasa na wanasiasa ndo muongozo mkuu wa nchi na wana siasa wana faida na hasara ya moja kwa moja ktk maisha ya wananchi
,
Ila ttzo linakuja wanasiasa wa afrika sio wanasiasa wa ulaya leo kiongozi wa afrika wanaweza kaa watu 20 wakaamua maisha ya watu million 60 na ata mkipiga wao wakiamua bas ishakua sheria tofauti na kwawezetu

Sasa unabak unajiuliza swali kuna haja gan ya kuumiza kichwa kujipa pressure kutoa maoni wakt ayo maoni yako akuna atakaye yachukua wala akuna anayeyaitaji why usienjoy maisha ungojee litakalo kua na liwe

Mtakomaa na bandari wakat bandari tyr kashapewa mwarabu wa warabu tyr wako bandari ya dar wanaandaa mazingina ya kaz
Mmepingwa wamasai wa loliondo ila bado mambo ni yale yale wametolewa wamepelekwa tanga wamepewa hekar 2 kwa familia na ngorongoro mwarabu katulia anasafilisha tu wanyama kwenda UAE NA Saudia

Enjoy maisha ukifa ww utatesema ukoo wako mke watoto na kaka au dada zangu kwa ufupi ukifa hasara ni kwa ndugu fanya kaz mambo ya siasa waachei wanasiasa
 
Tuitishe mgomo wa kususia nchi nzima. Tutachagua tususie nini, mfano tususie kulipa kodi?? Tususie kuhudhuria mikutano ya wanasiasa? Au tususie nini???

Tukiwa na ushirikiano watanyooka wenyewe.

Au tususie kila kitu cha serikali?? Iwe ajira, iwe huduma au chochote cha serikali. Nakwambiaje??? Tukishikilia vizuri na tukawa na msimamo vizuri kabisa, na mgomo hautaisha mpaka bandari irudi mkononi mwetu wananchi. Na mgomo hautaisha ikiwa kuna wenzetu watakuwa wamekamatwa
 
Back
Top Bottom