Kama hatutasikilizwa kama walivyoziba masikio kwenye sakata la Loliondo na Ngorongoro tunafanyaje?

Kama hatutasikilizwa kama walivyoziba masikio kwenye sakata la Loliondo na Ngorongoro tunafanyaje?

Kumbe ndo maana inafikia hatua watu wanachoka wanaamua kujichimbia msituni kuanzisha vikundi vya kigaidi. Inaanzaga hivi hivi ujinga ujinga watu mwisho wa siku wanachoka, wanaliamsha
 
Inabidi tukubaliane mapema kabisa ili tujue cha kufanya maana haya mafisadi yanasubiri tukikaa kimya yaendelee kutupiga kama kawaida yao.
Hili suala siyo la kukubaliana bali ni utashi binafsi
 
Sikubali kutisha. Bali kama tunaamini sisi ndiyo tumewaweka madarakani na labda wao hawaamini kama sisi hatukuwaweka madarakani, basi tutakachofanya ni "kushughulikia" na wanayeamini amewamweka madarakani kiasi ambacho Hata wao wataona "Maji yapo masikioni" hivyo watafanya hima kutambua uwepo wa maslahi ya Taifa Kwa upana Zaidi!

Simpo Andi kilia hakuna haja ya kutishana wote ni watu wazima.
Kuwatisha inawezekana, na lengo ni wao kutambua, umma umeamua.
 
Step ya kwanza ni mahakamani, baada ya hapo ikihitajika hatua ya pili itajulikana, muhimu utambue, hakuna kunyamaza mpaka bandari zetu zote Tanganyika zirudi mikononi mwetu.
Tufanyaje kama Ufaransa doing by now
 
Ndo hivyo, wewe tafuta wenye fikra zinazofanana na za kwako unganeni mfanye kwa kiwango chenu. Wengine pia wakihamaska, watafanya kwa kiwango chao. Mfano, Soka na wenzake walifanya kwa kiwango chao. Wangesubiri makubaliano ya nchi nzima leo dunia isingekuwa inafahamu msimamo wao.
 
gImalamawazo said:
Ndo hivyo, wewe tafuta wenye fikra zinazofanana na za kwako unganeni mfanye kwa kiwango chenu. Wengine pia wakihamaska, watafanya kwa kiwango chao. Mfano, Soka na wenzake walifanya kwa kiwango chao. Wangesubiri makubaliano ya nchi nzima leo dunia isingekuwa inafahamu msimamo wao.
Kumbe unafahamu yote hayo.
 
Watanzania tumekuwa wepesi sana ndio maana hawa ndugu zetu wanatuona mapoyoyo
 
Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.

Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
Panuke. Wananchi TUKINUKISHE.
Haiwezekani watu Hawa tunatoa Kodi wanalipwa mamishahara na maposho makubwa makubwa halafu hawataki kutusikiliza. Kila kitu kutukandamiza.
Mara tozo kwa miamala, mara ukinununua umeme unakatwa tozo, mara VAT.... Ukiagiza mfano gari nje hapo bandarini kulitoa inazidi bei ya gari....... HAPANA KWA KWELI. WAMETUCHOSHA NA TUMECHOKA KUNYONYWA..
Mamikopo wanakopa Kila kukicha yanaishia kwenye ubadhirifu.

Tumekua baridi sana, mno. Panuke tugawane mbao Kila mtu ashike njia yake. Hawa bili kukinukisha hawatakuja kutuheshimu hata kidogo.

Sasa so Bora kama mtu huezi ongoza useme Au BASI WABINAFSISHE UONGOZI TUWE JIMBO LA MAREKANI KAMA HAWAII AU PUERTO RICO.

TUMECHOKA
 
Tuwasomee Albadiri! Hii haitakuwa mara kwanza! Serikali ya Mapinduzi ilishawahi kusomewa Albadiri. Soma historia ya Zanzibar!
 
HAKUNA suala la Nini kifanyike tuanze na wabunge waliopo jimboni huku piga kiberiti majumba yao na Mali zao wanazopata kupitia wizi, tulimaliza hawa moja kwa moja toa huyo kirembwe hapo ikulu.
HAKUNA sababu ya kutumia busara kwa watu wasiohitaji busara zaidi wanaleta upuuzi kisa watu hawawezi kuchukua hatua... Awamu hatutanii tutachomaa motooo natapeli
Wewe mpumbavu tu. Anza kupiga kiberiti hapo kwako uliko. Unangoja nini?
 
Back
Top Bottom