Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikubali kutisha. Bali kama tunaamini sisi ndiyo tumewaweka madarakani na labda wao hawaamini kama sisi hatukuwaweka madarakani, basi tutakachofanya ni "kushughulikia" na wanayeamini amewamweka madarakani kiasi ambacho Hata wao wataona "Maji yapo masikioni" hivyo watafanya hima kutambua uwepo wa maslahi ya Taifa Kwa upana Zaidi!Tuwatishe!
Passive haitawasaidia,ungeni mkono juhud za serikali na muache ukaidiTutacopy passive resistance yako ya wakati ule!!!
Achana nalo, fanya kazi zako jitafutie chakoHawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.
Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
Next step ni kuendelea kukaa nyuma ya keyboard huku tukihamasishana tuingie barabarani.Step ya kwanza ni mahakamani, baada ya hapo ikihitajika hatua ya pili itajulikana, muhimu utambue, hakuna kunyamaza mpaka bandari zetu zote Tanganyika zirudi mikononi mwetu.
Hata sisi ni wajukuu ujueWewe una Wajukuu?
Huyo wa kusoma sasa!Suala la kwanza ni elimu kwa umma. Hapo ulipo print nakala kadhaa za mkataba wa bandari, weka pia nukuu za wachambuzi mbalimbali wauzie RAIA wakajisomea. Tunahitaji kila mtu ajue ubaya wa mkataba huu.
Hivi hatuwezi kuliamsha Kama walioliamsha kule Bordeaux na magharibi mwa France? Maana vyanzo vinafanana, kule walioliamsha baada ya serikali kutofuata wanayoyataka wananchi na Emmanuel Marcon kuweka pamba masikioni juu ya mabadiriko ya Penshen.Step ya kwanza ni mahakamani, baada ya hapo ikihitajika hatua ya pili itajulikana, muhimu utambue, hakuna kunyamaza mpaka bandari zetu zote Tanganyika zirudi mikononi mwetu.
Mko vizuri humu, field sasa, utadhani sio nyie.Nchi nzima, mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, kata kwa kata, kijiji kwa kijiji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
🤣🤣🤣Mko vizuri humu, field sasa, utadhani sio nyie.
Hatoki mtu hapa mpk tuwaone nyie kwanza live
Umesema sio la kidini lkn unataja wakristo watupu eti ndio waongoze kukinukisha!UNAJUA MKUU HILI SIO LA KISIASA!
HAPA WAKIPATIKANA WATANGANYIKA WENYE USHAWISHI mfano ( MBOWE, LISSU, SHIVJI, SLAA, MPINA, NA NDUGAI)
TUKAWEKA MASIASA NA MAMBO YA DINI PEMBENI,
TUKAUVAA NA KUUNGANISHWA NA UTANGANYIKA WETU,
WAKAJIGAWA KWENYE MIKOA MIKUBWA MITANO YA TANGANYIKA YETU,
KISHA WAKATANGAZA TAREHE MOJA YA KUKINUKISHA BARABARANI,
NAKUHAKIKISHIA PAMOJA NA NGUVU KUBWA INAYOTUMIKA KUTUWAGAWA WATANGANYIKA KWA DINI ZETU ILI WAFANIKISHE MALENGO YAO!!
LAKINI WATANGANYIKA HUKU MITAANI WANAMACHUNGU SANA NA BANDARI ZAO
MKUU UTASHANGAA HATA WAJEDA WATAKAOTUMWA NA MABOMU WAKIFIKA BARABARANI WAKAKUTA NI MAANDAMANO YA KUDAI MALI ZA WATANGANYIKA.!
NAKUHAKIKISHIA BADALA YA KUPIGA MABOMU NA KUTUMWAGIA MAJI WASHA,
WATAISHIA KUTULINDA TU!!
TUNAIPENDA TANGANYIKA YETU[emoji3590][emoji3590]
Mnapeana mawazo wenyewe.Kwa kuanzia sio mbaya!!
LAKINI HII KITU INATAKIWA IFANYIKE KWA PAMOJA MIKOA YOTE YA TANGANYIKA!!
mfano TUKIAMUA TAREHE KUMI MWEZI WA SABA KUANZIA SAA NNE ASUBUHI BASI TANGANYIKA NZIMA INAPATA UJUMBE!!
Hawa tukiwafungia kwa maombi siku 7, kwisha habari yao.Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.
Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
Wagala watupu.
Hata hawa wanaoandika hawako tayari kuacha familia zao.Hakuna kitu ntafanya chochote wengi waoga[emoji28][emoji28].
Huku tunachoweza ni kukesha mitandaoni kwa ujasiri mwingi wa kutukanaHivi hatuwezi kuliamsha Kama walioliamsha kule Bordeaux na magharibi mwa France? Maana vyanzo vinafanana, kule walioliamsha baada ya serikali kutofuata wanayoyataka wananchi na Emmanuel Marcon kuweka pamba masikioni juu ya mabadiriko ya Penshen.
Waoga tu nyie.HAKUNA suala la Nini kifanyike tuanze na wabunge waliopo jimboni huku piga kiberiti majumba yao na Mali zao wanazopata kupitia wizi, tulimaliza hawa moja kwa moja toa huyo kirembwe hapo ikulu.
HAKUNA sababu ya kutumia busara kwa watu wasiohitaji busara zaidi wanaleta upuuzi kisa watu hawawezi kuchukua hatua... Awamu hatutanii tutachomaa motooo natapeli