Kama hatutasikilizwa kama walivyoziba masikio kwenye sakata la Loliondo na Ngorongoro tunafanyaje?

Watanganyika wazalendo tunasapoti mkataba wa bandari hatutoshiriki katika upuuzi wowote wa kupinga.
 
Tuwatishe!
Sikubali kutisha. Bali kama tunaamini sisi ndiyo tumewaweka madarakani na labda wao hawaamini kama sisi hatukuwaweka madarakani, basi tutakachofanya ni "kushughulikia" na wanayeamini amewamweka madarakani kiasi ambacho Hata wao wataona "Maji yapo masikioni" hivyo watafanya hima kutambua uwepo wa maslahi ya Taifa Kwa upana Zaidi!

Simpo Andi kilia hakuna haja ya kutishana wote ni watu wazima.
 
Tuwasomee tu kisomo tena kile kisomo kibaya kabisa!
Na makabila yote Tz wafanye yale matambiko mabaya kabisa kulaami hiki kizazi kilichofanya huu uhaini!
 
Achana nalo, fanya kazi zako jitafutie chako
 
Step ya kwanza ni mahakamani, baada ya hapo ikihitajika hatua ya pili itajulikana, muhimu utambue, hakuna kunyamaza mpaka bandari zetu zote Tanganyika zirudi mikononi mwetu.
Next step ni kuendelea kukaa nyuma ya keyboard huku tukihamasishana tuingie barabarani.
 
Suala la kwanza ni elimu kwa umma. Hapo ulipo print nakala kadhaa za mkataba wa bandari, weka pia nukuu za wachambuzi mbalimbali wauzie RAIA wakajisomea. Tunahitaji kila mtu ajue ubaya wa mkataba huu.
Huyo wa kusoma sasa!
 
Step ya kwanza ni mahakamani, baada ya hapo ikihitajika hatua ya pili itajulikana, muhimu utambue, hakuna kunyamaza mpaka bandari zetu zote Tanganyika zirudi mikononi mwetu.
Hivi hatuwezi kuliamsha Kama walioliamsha kule Bordeaux na magharibi mwa France? Maana vyanzo vinafanana, kule walioliamsha baada ya serikali kutofuata wanayoyataka wananchi na Emmanuel Marcon kuweka pamba masikioni juu ya mabadiriko ya Penshen.
 
Nchi nzima, mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, kata kwa kata, kijiji kwa kijiji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mko vizuri humu, field sasa, utadhani sio nyie.
Hatoki mtu hapa mpk tuwaone nyie kwanza live
 
Umesema sio la kidini lkn unataja wakristo watupu eti ndio waongoze kukinukisha!
Kwa taarifa yako wakristo wa nchi hii hawana historia ya kupigania nchi.
 
Kwa kuanzia sio mbaya!!

LAKINI HII KITU INATAKIWA IFANYIKE KWA PAMOJA MIKOA YOTE YA TANGANYIKA!!

mfano TUKIAMUA TAREHE KUMI MWEZI WA SABA KUANZIA SAA NNE ASUBUHI BASI TANGANYIKA NZIMA INAPATA UJUMBE!!
Mnapeana mawazo wenyewe.
Masikini mtaishia mitandaoni tu
 
HAKUNA suala la Nini kifanyike tuanze na wabunge waliopo jimboni huku piga kiberiti majumba yao na Mali zao wanazopata kupitia wizi, tulimaliza hawa moja kwa moja toa huyo kirembwe hapo ikulu.
HAKUNA sababu ya kutumia busara kwa watu wasiohitaji busara zaidi wanaleta upuuzi kisa watu hawawezi kuchukua hatua... Awamu hatutanii tutachomaa motooo natapeli
 
Hawa tukiwafungia kwa maombi siku 7, kwisha habari yao.
Vita vinhine ni kumshitakia Mungu.

Unamfuta Samia kwenye Siasa za Tanzania.
Kuna wakati nilitamka kuwa...namfuta Ndugai kwenye siasa za Tanzania...hiyo komenti ilidhihakiwa sana.

Yako wapi sasa?
 
Hivi hatuwezi kuliamsha Kama walioliamsha kule Bordeaux na magharibi mwa France? Maana vyanzo vinafanana, kule walioliamsha baada ya serikali kutofuata wanayoyataka wananchi na Emmanuel Marcon kuweka pamba masikioni juu ya mabadiriko ya Penshen.
Huku tunachoweza ni kukesha mitandaoni kwa ujasiri mwingi wa kutukana
 
Waoga tu nyie.
Povu jiiingi humu lkn actions zero.
Anzeni basi tuona. Tokea mmeanza kuchomba mkwara hatujaona au kusikia chochote cha maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…