Fanyeni basi.Hawa tukiwafungia kwa maombi siku 7, kwisha habari yao.
Vita vinhine ni kumshitakia Mungu.
Unamfuta Samia kwenye Siasa za Tanzania.
Kuna wakati nilitamka kuwa...namfuta Ndugai kwenye siasa za Tanzania...hiyo komenti ilidhihakiwa sana.
Yako wapi sasa?
Njoo mbele yangu uweke hiyo nyama yako kama sijakupitia...Waoga tu nyie.
Povu jiiingi humu lkn actions zero.
Anzeni basi tuona. Tokea mmeanza kuchomba mkwara hatujaona au kusikia chochote cha maana
Kumbe kelele zote waniwinda mie tu!Njoo mbele yangu uweke hiyo nyama yako kama sijakupitia...
Wewe tega taqo ndio ujue...Kumbe kelele zote waniwinda mie tu!
Basi huna maana unadanganya wajinga humu. Mi nlidhani unataka kupambania bandari
Upo nchi gani tuwasiliane?Ilo swala halipo ivi unajua unachokipigania? Kwwajili ya nani??
IsraelUpo nchi gani tuwasiliane?
Kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifaIlo swala halipo ivi unajua unachokipigania? Kwwajili ya nani??
Kusoma watasoma, wasiwasi wangu ni kuwa serikali itavisaka kwa udi na uvumba. Haitaweza kuruhusu RAIA wawe na kijitabu kimeandikwa "Mkataba wa kuiuza Tanganyika kati ya Chifu Mkuu na Sultan wa Dubai"Huyo wa kusoma sasa!
Taifa linatambua ilo?Kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifa
Wasipo tuskiliza tunalipeleka kwa mahakama ya Mungu,Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.
Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
Hatuna cha kufanya mzee hii nchi ni ya kwao hapa JFs tu wametuazima tupigie soga tu.Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile.
Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
Hakuna kuwatisha! Wananchi tuamke tudai bandari yetu,then tudai katiba mpya itakayotuletea viongozi makini.Kweli.
Lazima tuwe na plan na mkakati wa kulimaliza hili.
Ile kauli, kwamba, "nimeziba masikio na kiongozi namba moja, ina viashiria hivyo hivyo".
Sasa usikute kina Msoga, wanamwambia wewe tulia, watanyamaza hawa, tunawajua. Si uliona Mtwara gesi ilitoka.
Mimi nafikiri wasipotusikiliza. Tuwatishe!
Usifanye watu wakate tamaa ndg. Ukombozi wa nchi inawezekana.Hatuna cha kufanya mzee hii nchi ni ya kwao hapa JFs tu wametuazima tupigie soga tu.
Ameen ameenUsifanye watu wakate tamaa ndg. Ukombozi wa nchi inawezekana.