Kama hatutasikilizwa kama walivyoziba masikio kwenye sakata la Loliondo na Ngorongoro tunafanyaje?

Kumbe ndo maana inafikia hatua watu wanachoka wanaamua kujichimbia msituni kuanzisha vikundi vya kigaidi. Inaanzaga hivi hivi ujinga ujinga watu mwisho wa siku wanachoka, wanaliamsha
 
Inabidi tukubaliane mapema kabisa ili tujue cha kufanya maana haya mafisadi yanasubiri tukikaa kimya yaendelee kutupiga kama kawaida yao.
Hili suala siyo la kukubaliana bali ni utashi binafsi
 
La bandari limekuja baada kutuona wapuuzi kwa kutokemea la "ugawaji" wa Loliondo na Ngorongoro
Wasiasahau ule.msemo:

"Za mwizi arobaini" na mwingine,

"Kamba hukatikia pembamba"
 
Kuwatisha inawezekana, na lengo ni wao kutambua, umma umeamua.
 
Step ya kwanza ni mahakamani, baada ya hapo ikihitajika hatua ya pili itajulikana, muhimu utambue, hakuna kunyamaza mpaka bandari zetu zote Tanganyika zirudi mikononi mwetu.
Tufanyaje kama Ufaransa doing by now
 
Ndo hivyo, wewe tafuta wenye fikra zinazofanana na za kwako unganeni mfanye kwa kiwango chenu. Wengine pia wakihamaska, watafanya kwa kiwango chao. Mfano, Soka na wenzake walifanya kwa kiwango chao. Wangesubiri makubaliano ya nchi nzima leo dunia isingekuwa inafahamu msimamo wao.
 
Kumbe unafahamu yote hayo.
 
Watanzania tumekuwa wepesi sana ndio maana hawa ndugu zetu wanatuona mapoyoyo
 
Panuke. Wananchi TUKINUKISHE.
Haiwezekani watu Hawa tunatoa Kodi wanalipwa mamishahara na maposho makubwa makubwa halafu hawataki kutusikiliza. Kila kitu kutukandamiza.
Mara tozo kwa miamala, mara ukinununua umeme unakatwa tozo, mara VAT.... Ukiagiza mfano gari nje hapo bandarini kulitoa inazidi bei ya gari....... HAPANA KWA KWELI. WAMETUCHOSHA NA TUMECHOKA KUNYONYWA..
Mamikopo wanakopa Kila kukicha yanaishia kwenye ubadhirifu.

Tumekua baridi sana, mno. Panuke tugawane mbao Kila mtu ashike njia yake. Hawa bili kukinukisha hawatakuja kutuheshimu hata kidogo.

Sasa so Bora kama mtu huezi ongoza useme Au BASI WABINAFSISHE UONGOZI TUWE JIMBO LA MAREKANI KAMA HAWAII AU PUERTO RICO.

TUMECHOKA
 
Tuwasomee Albadiri! Hii haitakuwa mara kwanza! Serikali ya Mapinduzi ilishawahi kusomewa Albadiri. Soma historia ya Zanzibar!
 
Wewe mpumbavu tu. Anza kupiga kiberiti hapo kwako uliko. Unangoja nini?
 
Wewe mpumbavu tu. Anza kupiga kiberiti hapo kwako uliko. Unangoja nini?
Mpumbavu ni wewe ajuza unaeishi kwakujiuza shwain.... Tutachomaaa Moto mbwa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…