Kama haufanyi hivi Biblia bado haikusaidii kiroho kushinda wachawi na majini.

Kama haufanyi hivi Biblia bado haikusaidii kiroho kushinda wachawi na majini.

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Kuna makosa mengi watu wanafanya.
1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi.

2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii.

UFANYE NINI SASA
Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu ubongoni vifungu vya kutosha hasahasa ahadi za Mungu.

Kisha uyatamke kinywani mwako katika maisha ya kila siku. Unachokitamka ndio imani yako.

Wachawi na waganga wanatumia matamko kukuumiza, wanakutamkia lugha hasi na vinakupata kama huna ulinzi, ukikaa kimya utaumia sana. Chukua vifungu ujitamkie na kutamkia unayopitia ili neno hilo lifanyike mwili (uhalisia).

Majini na mashetani yanafanyia kazi lugha hasi kutoka kinywani mwako au mganga na wachawi, Na sisi malaika wa Mungu wanasubiri utamke neno la Mungu ili walilifanyie kazi. Ukikaa kimya unazuia wasifanye kazi.


Chukua hii
Itakusaidia.
 
Italazimika wakristo wote waende bibie college?
Bible college ni kupoteza Muda.

Unasoma tu. Mfano ukigugo 10 verses about good sleeping. Utaletewa mistari. Kama unasumbuliwa na usingizi kisa nguvu za adui. Basi kwa kujitamkia hayo maneno mara nyingi.

Maneno ya Mungu yana nguvu kuliko maneno yako au ya waganga na wachawi.
 
Back
Top Bottom