Kama hauko matured enough usijaribu kamwe kuingia kwenye ndoa

Kama hauko matured enough usijaribu kamwe kuingia kwenye ndoa

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Maturity imebeba mambo mengi sana,
Ukiingia kwenye ndoa kwa kuongozwa na nyege au influence kutoka kwa jamii sjui umri umeenda wenzako wote wameshaoa wewe mbona huoni aise utarudi kwa speed kali sana kwenye ubachela.

Ulishawahi kumuona kasongo akikimbia porini.

Maturity ndio itaamua ukae kwenye ndoa muda gani.

Bado siku Moja weekend ianze.
 
Back
Top Bottom