rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Wamchukue sasa hivi uwezo wa utopolo ni kuchukua wachezaji ambao hata first eleven Simba hawapo ila hawana ubavu wa kuchukua wachezaji wa kikosi cha kwanzaTunajua kuwa wameshampa Mkude mkataba wa awali, hawa wazee wa viporo vilivyochacha