Kama hauna Bilioni 10 haumpati Luis Miquisson

Kama hauna Bilioni 10 haumpati Luis Miquisson

Acha kumtukuza kule kumfunga mwarabu basi gharama yake b10 hivi wewe umeenda shule kuna mchezaji wa simba anayezidi m500 mchezaji wa maana hawezi kubaki simba vilabu vikubwa vingemchukua mara moja
 
Hakuna blah blah !

Huo ndio ukweli, na tujue hilo na wanaomnyatia nyatia, kama hauna Bilioni 10 za Kitanzania basi usihangaike hata kumhitaji Miquisson.

Tena hio Bilioni 10 ni TUNAKUFIKIRIA au tunafikiria OFA yako. Hivyo kuna uwezekano tukaikataa!

This is SIMBA.......

Nikiona miquisson anavojitoa kwa team,na nikilkumbuka chama alivuta kama milioni 500 (kama nikweli yasemwayo)kusaini mkataba mpya na eti ndio anavuta mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote inauma sana
 
Ata ivyo asingekubali kwenda Uto.
Yatamkuta kama ya Senzo.
Senzo kaacha u-C.E.O kwenye timu yenye mafanikio Africa kaenda kuwa mshauri kwenye timu ya mazezeta.

Acha jamaa ajipigie pesa kwa mafara uto,yule jamaa senzo hamna kitu ni jina tu alinufaika na utani wa jadi anapiga hela ndefu,watakuja stuka hana msaada muda umeenda sana,uto huwa kama vichaa
 
Bora nikalie maandazi tu..nachomoa buku buku kaenye hiyo 10b daily nanywea chai.
 
Mbumbumbu/Bodaboda/Mikia mna matatizo gani Senzo aliondoka kwenu mbona mnazidi kumwandama wewe unajudai una hela wakati klabu haina hata m50 rejea ripoti ya simba pesa yote ya mhindi hata uwanja hamna ule ni wa mo halafu matusi ya nini kumbe Senzo mnamwogopa Senzo poleni sasa
 
Ikitokea timu inamtaka sasa hivi Simba wamuuze fasta halafu watafute mchezaji mwingine anayekaribia kiwango chake (kwani kuna Luis mmoja tu) lakini wakumbuke kuweka kipengele cha kuwa kila itakapouzwa wao Simba wapate asilimia fulani. Wasisubiri mpaka amalize mkataba wake ataondoka bure huyo.
 
Simba yote hakuna mchezaji mwenye thamani ya bilion moja, labda Kama mnazungumzia bilion ya Zimbabwe.
 
Namuona Luis Miq akiwa MVP wa VPL 2020/21 Maaana moto wake kwa sasa hauna mbadala siyo Dube, Mozizi, Sogne wala Nchimbi!
 
Mbumbumbu/Bodaboda/Mikia mna matatizo gani Senzo aliondoka kwenu mbona mnazidi kumwandama wewe unajudai una hela wakati klabu haina hata m50 rejea ripoti ya simba pesa yote ya mhindi hata uwanja hamna ule ni wa mo halafu matusi ya nini kumbe Senzo mnamwogopa Senzo poleni sasa
Weka namba yako ya MPESA nikutumie hata hela ya Bia ukajipoze na STRESS ulizonazo hizo.
 
Acha kumtukuza kule kumfunga mwarabu basi gharama yake b10 hivi wewe umeenda shule kuna mchezaji wa simba anayezidi m500 mchezaji wa maana hawezi kubaki simba vilabu vikubwa vingemchukua mara moja
Punguza stress!
 
Back
Top Bottom