DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini
Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD
Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0
Kama angekuwa na Elimu huyu uncle wangu angekuwa mbali Sana sio yeye tu hata huko upinzani kama hauna Elimu unabidi kuwa mtazamaji ili usipoteze Muda wako bure.
Kazi nyingi za Serikali zinapitia uvccm lakini Kama hauna Elimu huwezi kupewa .
Mimi nafahamu Mambo Mengi kuhusu uchawa na kujipendekeza vyote hivi utafanikiwa Kama una Elimu .