imesomekaaa hiyo, aione BADILI TABIA.
Eeee.. hyo mbona inaelewka au unataka ufafanuzi?
afu janaume likiwa halina pesa halipendeziiii linakosa swaga kabisaaa
Fafanua labda ungesema kama huna pesa wanawake wapenda pesa watabaki kuwa shemeji zako, mbona tunao wengi tu wazuri na wengine wapo tu wanatafuta mtu wa kuwaonyesha tu upendo wa kweli si wote wazuri wanatanguliza pesa mjomba.
Wengi wanaotanguliza pesa wanaishia kutendwa na matajiri wenye pesa nina rafiki yangu cha uzuri ameishia kupewa mimba jamaa kamtelekeza alikuwa ananiambia bora apate tu hata lizee limuoe.
Ina maana mmefungua huu uzi ili kutunyanyapaa?...jaman huu ni unyanyasaji mkubwa!....mimi huwa siamin kama kuna binadam mbaya dunia ya leo...hal ngumu ya kimaisha huficha haiba ya mtu!afu janaume likiwa halina pesa halipendeziiii linakosa swaga kabisaaa
Ina maana mmfungua huu uzi ili kutunyanyapaa?...jaman huu ni unyanyasaji mkubwa!
pesa ndo zinaficha haiba ya mwanadamu hasa mwanamke....ya diamond yako wap?....mimi mwenyewe demu wangu mzur na ndo maana nikampenda... ila sina pesa za kutosheleza mahtajha ha pole jamani jitahidi basi uzitafute kwa nguvu zako zote.Asikwambie mtu ukiwa na pesa utanogaaaa sana achana nao wanaopinga hii theory japo wanaikubali kiaina aina ngoja nikurudishe kwa Husninyo
Mkuu kuwa na hela na kuwa tajiri ni vitu viwili toafauti hilo sharti ulielewe, kwhyo inapongelewa hivyo ina maanisha uwe na uwezo wa kutoa huduma, sio unaona wa wengine alfu unasifia wakati wako unamfuga kama punda