"Kama hauna hela mwanamke Mzuri atabakia kuwa Shemeji yako tu!"

"Kama hauna hela mwanamke Mzuri atabakia kuwa Shemeji yako tu!"

Ina maana mmefungua huu uzi ili kutunyanyapaa?...jaman huu ni unyanyasaji mkubwa!....mimi huwa siamin kama kuna binadam mbaya dunia ya leo...hal ngumu ya kimaisha huficha haiba ya mtu!
Naamini hujawahi kuona mapenzi na htta kaa uyaone....
 
sasa sis ambao tuna pesa na hatupendwi tatizo nin?
 
haina ukweli wowote
wasiokua na hela ndio hua
wanapata wake wazuri kuliko
hata wenye hela!!
 
<font color="purple">haina ukweli wowote<br />
wasiokua na hela ndio hua<br />
wanapata wake wazuri kuliko<br />
hata wenye hela!!</font>
Labda vijijini 😉
 
Back
Top Bottom