"Kama hauna hela mwanamke Mzuri atabakia kuwa Shemeji yako tu!"

"Kama hauna hela mwanamke Mzuri atabakia kuwa Shemeji yako tu!"

Ina maana mmefungua huu uzi ili kutunyanyapaa?...jaman huu ni unyanyasaji mkubwa!....mimi huwa siamin kama kuna binadam mbaya dunia ya leo...hal ngumu ya kimaisha huficha haiba ya mtu!

Hamna siku nyanyapai mwanangu, mboni sisi ni wale wale kwhyo hicho kitu tunakifahmu

"You are not design tha every one has to like"
 
eti enhe ila libaba lenye kitambi ndo linakuwa limetokelezea?

wake up kijana nowdays kuna vitu vya arv oooo siyo mwenye kitambi anahelaaa vingine vitambi vya ugonjwa!!!!!! Ila ni hivyo mwanamme mwenye pesa anapendezaaaa jamanii yaaani
 
pesa ndo zinaficha haiba ya mwanadamu hasa mwanamke....ya diamond yako wap?....mimi mwenyewe demu wangu mzur na ndo maana nikampenda... Ila sina pesa za kutosheleza mahtaj

kila anakula kwa urefu wa kamba yakee banaaa
 
Eeee.. hyo mbona inaelewka au unataka ufafanuzi?

What have I got?
No looks, no money, no education.
Just TALENT.

Accept everything about yourself.
I mean everything,
You are you and that is the beginning and the end.
NO apologies, no regrets.
 
Ha haa Watu enzi hizo wamekula totoz wa nguvu kwa peremende..
Hawa wa juzi chips mayai ndio wamepanda bei? Mbona sisi tunatafuna sana tu na hatuna pesa kivile..!!
Domo tu.. mtoto anaingia kingi..unampa na mipango ya uongo na kweli 😉
Unaongea nae mpaka anakuona kama demu mwenzake akija kustuka mko chumbani...
 
Labda uwe Yahaya
 
wake up kijana nowdays kuna vitu vya arv oooo siyo mwenye kitambi anahelaaa vingine vitambi vya ugonjwa!!!!!! Ila ni hivyo mwanamme mwenye pesa anapendezaaaa jamanii yaaani

amu unanisimanga eh?
I am watching you!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom