afu janaume likiwa halina pesa halipendeziiii linakosa swaga kabisaaa
Ina maana mmefungua huu uzi ili kutunyanyapaa?...jaman huu ni unyanyasaji mkubwa!....mimi huwa siamin kama kuna binadam mbaya dunia ya leo...hal ngumu ya kimaisha huficha haiba ya mtu!
eti enhe ila libaba lenye kitambi ndo linakuwa limetokelezea?
pesa ndo zinaficha haiba ya mwanadamu hasa mwanamke....ya diamond yako wap?....mimi mwenyewe demu wangu mzur na ndo maana nikampenda... Ila sina pesa za kutosheleza mahtaj
Eeee.. hyo mbona inaelewka au unataka ufafanuzi?
Eeee.. hyo mbona inaelewka au unataka ufafanuzi?
mzuri kwa nani? maana hata wasira ni handsome kwa mkewe!
Acha kupotosha jamii!!! Uzuri unaouzungumzia wewe ni upi???
Ha haa Watu enzi hizo wamekula totoz wa nguvu kwa peremende..
Hawa wa juzi chips mayai ndio wamepanda bei? Mbona sisi tunatafuna sana tu na hatuna pesa kivile..!!
Domo tu.. mtoto anaingia kingi..unampa na mipango ya uongo na kweli 😉
Unaongea nae mpaka anakuona kama demu mwenzake akija kustuka mko chumbani...
mzuri kwa nani? maana hata wasira ni handsome kwa mkewe!