Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
afu janaume likiwa halina pesa halipendeziiii linakosa swaga kabisaaa
Naamini hujawahi kuona mapenzi na htta kaa uyaone....Ina maana mmefungua huu uzi ili kutunyanyapaa?...jaman huu ni unyanyasaji mkubwa!....mimi huwa siamin kama kuna binadam mbaya dunia ya leo...hal ngumu ya kimaisha huficha haiba ya mtu!
sasa sis ambao tuna pesa na hatupendwi tatizo nin?
Labda vijijini 😉<font color="purple">haina ukweli wowote<br />
wasiokua na hela ndio hua<br />
wanapata wake wazuri kuliko<br />
hata wenye hela!!</font>