min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie .
Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa.
Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi kuwa na mwanamke haombi pesa .
Acha kutupa misimamo yako ya kiwango cha mshahara wa tamisemi Pumbavu wewe.