Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sina pesa bwana, hebu zilete hizo!Bwashee sipeleki pesa mahali penye pesaš¤£
Sina pesa bwana, hebu zilete hizo!Bwashee sipeleki pesa mahali penye pesaš¤£
Leo sitilishi hurumaSeranš¤
Tangu lini wewe ukaogopa ba mnyogodešEhhhh unajua wewe mtoto nakupenda ila naogopa kusema tuš
Aaah kumbe mjukuu ni Don eenh?Bwashee sipeleki pesa mahali penye pesaš¤£
Tena wewe hasa hasa!Hadi mimi?
Wanawake Wazuri wanakupokea kama ulivyoenda, sio wote tunatoa helaBwashee hii Dunia hakuna mwanamke anapenda njaa, kama hauna pesa wanawake wazuri utaona kwenye picha tu
Hajafunga pm mangi? Maana nanuka shida hapa inabidi nimkope kwanzaSeran anakosa vipi pesa?
Ushanikera kuhusu mashamba hili sisamehiNionee huruma mchumbaš¤
Mimi hata mlo wa usiku tu leo sijui natoa wapišHajafunga pm mangi? Maana nanuka shida hapa inabidi nimkope kwanza
We tenašš š nyie ndio wale mnatumia umaskini mnaichapa bure Pumbavu zenuš¤£