Kama hauna hela za kutosha utalaumu sana single maza

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie .

Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa.

Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi kuwa na mwanamke haombi pesa .

Acha kutupa misimamo yako ya kiwango cha mshahara wa tamisemi Pumbavu wewe.
 
Saa mbovu nayo ina muda wake wa kuwa sahihi… tatizo ni wewe unataka iwe sahihi kila saa! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚single Maza kwanza hawahitaji hela nyingi, njaa Yao Sana ni faraja
 
Umemuotea muhindi mbona hii sio tabi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…