Sina pesa bwana, hebu zilete hizo!Bwashee sipeleki pesa mahali penye pesa🤣
Leo sitilishi hurumaSeran🤗
Tangu lini wewe ukaogopa ba mnyogode😂Ehhhh unajua wewe mtoto nakupenda ila naogopa kusema tu😅
Aaah kumbe mjukuu ni Don eenh?Bwashee sipeleki pesa mahali penye pesa🤣
Tena wewe hasa hasa!Hadi mimi?
Wanawake Wazuri wanakupokea kama ulivyoenda, sio wote tunatoa helaBwashee hii Dunia hakuna mwanamke anapenda njaa, kama hauna pesa wanawake wazuri utaona kwenye picha tu
Hajafunga pm mangi? Maana nanuka shida hapa inabidi nimkope kwanzaSeran anakosa vipi pesa?
Ushanikera kuhusu mashamba hili sisamehiNionee huruma mchumba🤭
Mimi hata mlo wa usiku tu leo sijui natoa wapi😁Hajafunga pm mangi? Maana nanuka shida hapa inabidi nimkope kwanza
We tena😂😅😅 nyie ndio wale mnatumia umaskini mnaichapa bure Pumbavu zenu🤣