Smart lady in one and two
Member
- Aug 17, 2025
- 43
- 79
Sikupi kitu na utanyooka ba mnyogodeHahhaaha ninyooshe ila usiache kunipa tuš¤š¤
Ngojaa, kukupa jembe au?Nimetoka kidogo nikija utanipa najuaš¤
Ngoja, nikufungie ngapi zikufikie kabisa hukohuko?Kunipa shamba nilimeš
At the same time unasema hakuna classes kwenye maisha.Kama huna pesa kwa dunia ya leo wewe ni takataka
I was just sayingAt the same time unasema hakuna classes kwenye maisha.
Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie .
Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa.
Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi kuwa na mwanamke haombi pesa .
Acha kutupa misimamo yako ya kiwango cha mshahara wa tamisemi Pumbavu wewe.