Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Nasisitiza KATAA NDOAMkuu huu mchango wako ni wa thamani sana...
Unajua ndio maana hata watu wanaogopa kuoa, sisi watu weusi tusipoangalia mbeleni wanaume hawatakuwa na nguvu yoyote kimaamuzi tuweni makini sana na zawadi ya maisha tuliyopewa.
Watu hawataki kujua nini chanzo cha hofu zao zinazowaambia wasioe, wanakubaliana nazo, wanasema bora liende, KATAA NDOA... Ndio wameona ni solution...
Ukiachana na kiroho pia inahitaji roho ngumu na ukauzu.Wakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi
Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.
Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.
Don't hustle in vain nigga
Pray pray pray.
Kausha damu anakufunga njia zote za kupata riziki, kama uliweka dhamana ya nyumba, inakwendaKweli kuna mfanyakazi mwenzetu anafanya biashara ya mikopo ya kausha damu sasa ukienda kukopa pesa hakupi kwanza lazima akwambie ukae nje kwanza kama nusu saa ndiyo anatoka nje kukupa jibu, na jibu lake inategemea na nyota yako ina nguvu au haina nguvu.
Na ukikopa pesa ata elf kumi kuilipa ni ngumu unashangaa matatizo yanaongezeka.
Siku ukinipa itakuwa siri yangu, simwambii hata moderator wa jf.Kunywa bia 😜
Nyie ndo mnaokuja na uzi 😅jinsi nilivyomuacha realmamy baada ya kumtafuna mara tatu 😅😅😅😅Siku ukinipa itakuwa siri yangu, simwambii hata moderator wa jf.
Mwamba kagoma kuamini kuhusu swala hilo ila ata mimi nilikuwa siamini ila kwa sasa naenda kuamini😅😅We jamaa unajukuta nani 😁
Mkuu hapa naomba utupe ufafanuzi kidogo, ni kwa jinsi gani walimzuia kiroho, na ni wakina nani walimzuia kirohoKuna jambo hapa niliseme, mtu kama Steve Jobs ndiye angekuwa tajiri namba moja duniani hata Bill Gates asingemfikia, ni kwamba walimzuia kiroho, lakini Steve Jobs ndiye angepaswa kuwa tajiri namba moja na hata sasa asingekosekana kwenye top3.
Biashara kubwa unamaanisha mzunguko wa bei ganWakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi
Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.
Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.
Don't hustle in vain nigga
Pray pray pray.
This is the wayUkitaka nguvu ya kiroho ni lazima uwe na utaratibu wa kusoma biblia kila siku amka ata mara tatu kwa wiki usiku saa kumi kumshukuru Mungu omba rehema omba hitaji lako Mungu akutendee acha dhambi toa sadaka ya kupanda mbegu sadaka ya ujenzi,toa malimbuko toa zaka hivi ndio unavyoenda kupata utajiri
Mngoni kwema?Hamna asiyeamin aliyewahi kufanikiwa, wewe bado mdogo!!!!
Ni lazima iwe na vitu vya spiritual unavyoviamini, na hiii ni Siri ya Kila mafanikio.
Sio biashara TU, hata kudumu na cheo.
Hiyo nguvu ya Spiritual yaweza kuwa ya YESU au Kishetani
Mkuu hapa naomba utupe ufafanuzi kidogo, ni kwa jinsi gani walimzuia kiroho, na ni wakina nani
PRAY HARD, WORK SMARTWakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi
Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.
Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.
Don't hustle in vain nigga
Pray pray pray.
Sio kweli, moja kati ya nguzo muhimu katika biashara ni IMANI, Duniani koteHuu ujinga utausikia nchi maskini tu.
Kuna namna ya kuomba au kusali ni kama vile kuna namna ya kufanya kazi kwa mafanikio.Wachungaji wetu wanatuambia pray pray pray, ila wao wanakusanya sadaka zetu ndio hizo wanakula. Mbona wao wasi pray pray pray wakapata kila kitu?
Nyie matajiri acheni kutuongopea sisi tu pray wakati nyie mnaendelea kupiga hela kwa njia mnazozijua. Sisi tuna pray miaka nenda rudi ndio kwaanza umasikini unatuandama 😐
Pamoja sana mkuu lakini msijigawe huko mkuu.
Wabongo wa majuu hamna upendo mnajigawa.
Cc: fid Q
Daah kaka wekeza nyumbani
KabisaDaah kaka wekeza nyumbani
Kwamba kuamini kuna uhusiano gani na mafanikio? Vip ambao hawaamini ila wamefanikiwa pia ?