Kama hauwezi kulipia VPN Tumia TOR circuit bure kama mbadala

mie inagoma au nakosea username na passwd?

Pitia tena hizo field ulizojaza kama ziko sawa.Halafu kwenye server address badilisha kwa kuweka moja kati ya IP address zifuatazo


219.100.37.195

or

219.100.37.200

or

219.100.37.156
Hakikisha mobile Data iko ON na una bundle wakati una~connect
 
Pitia tena hizo field ulizojaza kama ziko sawa.Halafu kwenye server address badilisha kwa kuweka moja kati ya IP address zifuatazo


219.100.37.195

or

219.100.37.200

or

219.100.37.156
Hakikisha mobile Data iko ON na una bundle wakati una~connect
hizo IP adress nimeweka zote inaandika unsuccessful

kwenye username hapo juu umeandika "write vpn" je hili neno lote ndo username kama lilivyo kwenye mabano au ulimaanisha vpn alone na kwenye password pia
data zote zipo on lakin mtandao uko very slow kuna vpn niliinstall ila nataka niamie kwenye built in vpn

samahan sana kwa usumbufu
 

Unaweza futa hiyo VPN Profile uliyojaza ukaanza upya.Andika "vpn" pekee kwenye username na password field.Fata ule mtiririko vizuri.Pia kwa Android phones wakati una~configure VPN kuna sehemu imeandikwa "show advanced options " ambapo kuna blank fields mbili za kujaza,hakikisha umezijaza kama nilivyoelekeza pale juu
 
Provider wako akitaka jua umesurf nini..

Hivi ni mtu mmoja anatumia inamaana unataka sema huyo provider wako anakuwa na kazi ya kuchunguza ma elf ya watu?

Kusema wanauza data zako bila kujua means what unataka wakushirikishe....?; Hata usipotumia hiyo data zako always zinauzwa...na kama unatumia simu kawaida unaingia fb,wasap, insta, txt zakawaida , piga na kupokea ni kipi unaogopa kinauzwa? Hio ina ku affect aje?
 
1)Provider hana muda wa kukaa na kuchunguza data zako bali kuna systems wanazo zenye trained models zinazojua information ipi inahitajika, na hapo juu nimetoa mfano wa passwords. So kazi ya hizo systems ni kufilter na kujua kipi kinahitajika. Note sio wote wanafanya hivyo.

2)Sishangai kuona hau-feel concerned khs data zako kuuzwa coz nadhan hata privacy policy ya jf haujasoma. Mfano kipindi faceApp imeingia watu wengi bila kujali privacy zao wakaitumia lkn privacy policy ya faceapp ilikua inasema "uki-upload picha yako humo inakua sio mali yako tena bali wanaweza kuitumia wanavyotaka"
So kama haujali khs privacy yako ndipo hautoona umuhimu wa wewe kuhusishwa endapo data zako zitauzwa.
Na sio kweli kwamba data always zinauzwa, mitandao ilio halali inakuuliza kwanza na kama haujawahi kuulizwa basi soma privacy policy kwanza

Note: mamilioni ya emails zinazokua exposed kwenye porn sites na sites nyingine za ovyoovyo zinatumiwa sana kwenye kusambaziwa scamming emails. Ili kuamini hilo kama ulishawahi kuweka email yako kwenye sites za ovyoovyo basi scam box ya email yako utakuta imejaa scam emails. Pia password dictionaries wanazotumia hackers kufanya brute-force zinatokana na passwords zinazotumwa kupitia unsecure connections au untrusted VPNs

3)Umesema kama unatumia kuwasiliana na unaogopaje data zako kuuzwa? Hii inategemea na role yako kwenye jamii na content ya mawasiliano yako
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mda wa kutumia vpn unaisha leo maana mkuru ameisha apishwa

kwa nini wafungulie mitandao akiapishwa?

yeye alisema mitandao ya kijamii ni karaha na hatari kwa nchi, na angekuwa na uwezo angeifunga

wametuonyesha wana uwezo wa kuifunga, basi waifunge mazima

au wanaongea tu wasivyomaanisha?
 
Hiyo step e) ya forwarding route ndio kwangu siipati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu baada ya server address kuna field L2TP secret, halafu IPsec identifier nijaze nn kwenye hizo field??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks Mkuu
 
samahani... hiyo server address ni ya wapi...?? sijui kama nimepatia kuuliza swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…