vikodin
Member
- Apr 14, 2018
- 55
- 96
Ngoma JAPAN hiyo Mzee!.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ila naona hii iko slow sana asee!! Hakuna namna kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma JAPAN hiyo Mzee!.[emoji23][emoji23][emoji23]
mie inagoma au nakosea username na passwd?
Mkuu ila naona hii iko slow sana asee!! Hakuna namna kweli?
hizo IP adress nimeweka zote inaandika unsuccessfulPitia tena hizo field ulizojaza kama ziko sawa.Halafu kwenye server address badilisha kwa kuweka moja kati ya IP address zifuatazo
219.100.37.195
or
219.100.37.200
or
219.100.37.156
Hakikisha mobile Data iko ON na una bundle wakati una~connect
Kuwa slow inategemea na mtandao unaotumia,lakini pia waweza badilisha Server address/IP address.Ingia humo VPN Gate - Public Free VPN Cloud by Univ of Tsukuba, Japan utapata IP address mbalimbali
Me sasa hivi niko marekani[emoji23]
hizo IP adress nimeweka zote inaandika unsuccessful
kwenye username hapo juu umeandika "write vpn" je hili neno lote ndo username kama lilivyo kwenye mabano au ulimaanisha vpn alone na kwenye password pia
data zote zipo on lakin mtandao uko very slow kuna vpn niliinstall ila nataka niamie kwenye built in vpn
samahan sana kwa usumbufu
Nimeiotea hii nyingine iko vizuri naserereka sasa
Provider wako akitaka jua umesurf nini..Hello bosses
Kwa hali ya sasa kumekua na wimbi la watu kukimbilia VPN ili kuaccess internet kwa wanaopata shida ya internet breakdown. Kutumia VPN kuna madhara yake ukiachana na slow speed kwa baadhi ya VPN providers.
Madhara makubwa ya kutumia VPN ni kwamba VPN provider wako anaweza kuona kila data zako unazotuma na kupokea hivyo akitaka kujua umesurf nini ni rahisi kwake kufanya hivyo. Kwa wanaotumia apps au websites ambazo hazifanyi end to end encryption au hazina ssl wako kwenye hatari zaidi ya kuingiliwa kwenye mawasiliano yao, kuibiwa passwords etc......
Kwenye dark web kuna hackers huwa wanatoa password dumps zinazokuwa zimebeba passwords zinazotumika mara kwa mara na moja ya chanzo cha hizo data huwa ni passwords zinazotumwa kwenye websites ambazo hazina ssl (requests & data sent or received to/from the server are not encrypted) pamoja na data kutoka kwenye VPN(hasa free VPNs).
Pia VPN providers wana uwezo wa kuuza data zako bila wewe kujua.
Suluhisho la hii ni kutumia TOR circuit. Sitoelezea kiundani sana ufanyaji kazi wa tor circuit lakini kiufupi ni kwamba request yako inapitishwa kwenye nodes mbalimbali kabla ya kutoka na kuingia kwenye exit node yako. Hii ni tofauti na VPN za kawaida kwa sababu kwnye VPN unakua umepewa Server moja ifanye kazi kama intermediary wako, so ni kama vile unaiambia server ikutafutie kitu fln au i-fanye login sehemu fln etc..... Kwa TOR circuit request yako haitofuata route moja bali requests tofauti zinaweza kufuata routes tofauti ila zikawa na exit node moja ambayo ndio inakulink ww na TOR circuit, hii inaondoa uwezekano wa requests zako kuwa logged sehemu moja kama ilivyo kwa VPN
UNAJIUNGAJE NA TOR CIRCUIT.?
Kwa wenye smartphone kuna app inaitwa ORBOT Tor, na pia nadhan kuna windows version yake. Download kisha weka kwenye kifaa chako na itakuuliza ku-enable 'Built in VPN', iruhusu kisha utachagua apps zipi zitumie TOR circuit. ORBOT TOR ni rahisi kutumia na inajieleza.
Kwa wanaotumia parrot OS kujiunga na TOR circuit ni kitendo cha 'one-click; tu. Fungua menu kisha chagua 'Anon-surf' then 'Start Anon-surf'
NOTE:
WATU WENGI HUHUSISHA TOR NA DARK WEB LAKINI TOR CIRCUIT INAWEZA PIA KUKUSAIDIA KU-BROWSE INTERNET ANONYMOUSLY NA KUEPUKA USUMBUFU WA KUTOINGIA KWENYE APPS AU WEBSITES AMBAZO ZIMEZIMWA KWENYE ENEO ULIPO. SO TOR CIRCUIT HAITUMIKI KWA DARK WEB TU LAKINI NI ALTERNATIVE NZURI YA VPN
Happy Surfing!
~Kali Linux
1)Provider hana muda wa kukaa na kuchunguza data zako bali kuna systems wanazo zenye trained models zinazojua information ipi inahitajika, na hapo juu nimetoa mfano wa passwords. So kazi ya hizo systems ni kufilter na kujua kipi kinahitajika. Note sio wote wanafanya hivyo.Provider wako akitaka jua umesurf nini..
Hivi ni mtu mmoja anatumia inamaana unataka sema huyo provider wako anakuwa na kazi ya kuchunguza ma elf ya watu?
Kusema wanauza data zako bila kujua means what unataka wakushirikishe....?; Hata usipotumia hiyo data zako always zinauzwa...na kama unatumia simu kawaida unaingia fb,wasap, insta, txt zakawaida , piga na kupokea ni kipi unaogopa kinauzwa? Hio ina ku affect aje?
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hivi naweza kulipia data za VPN na nisinunue data za hizi kampuni za simu?
Mfano, VPN nayotumia imenipa GB 20 bure, nimetumia zimebakia 7, wamasema nilipie 20k unlimited mwezi mzima.
Je nikinunua hiyo unlimited sihitaji kununua za mtandao naotumia?
Kuna vitu vinanichanganya wataalamu mnipe msaada wa maelezo.
Ahsante.
Mda wa kutumia vpn unaisha leo maana mkuru ameisha apishwa
Hiyo step e) ya forwarding route ndio kwangu siipati1)Go to Settings>>Wireless and Network and wireless>VPN and then Tap add VPN profile
2)New VPN profile will appear with the following blank fields
a)Name field "Put vpn"
b)Type "Select L2TP/IPSecPSK
c)Server adress "write 219.100.37.144 "
d)IP Sec pre-shared key "write VPN"
e)Fowarding routes "write 0.0.0.0/0
3)Connect to VPN will appear with the following empty fields
a)Username "write vpn"
b)Password "Put vpn"
Then you will connect to new vpn profile where a [emoji1006] symbol will appear on top of your phone window after succesfully connecting to VPN
Kwangu baada ya server address kuna field L2TP secret, halafu IPsec identifier nijaze nn kwenye hizo field??1)Go to Settings>>Wireless and Network and wireless>VPN and then Tap add VPN profile
2)New VPN profile will appear with the following blank fields
a)Name field "Put vpn"
b)Type "Select L2TP/IPSecPSK
c)Server adress "write 219.100.37.144 "
d)IP Sec pre-shared key "write VPN"
e)Fowarding routes "write 0.0.0.0/0
3)Connect to VPN will appear with the following empty fields
a)Username "write vpn"
b)Password "Put vpn"
Then you will connect to new vpn profile where a [emoji1006] symbol will appear on top of your phone window after succesfully connecting to VPN
Thanks Mkuu1)Go to Settings>>Wireless and Network and wireless>VPN and then Tap add VPN profile
2)New VPN profile will appear with the following blank fields
a)Name field "Put vpn"
b)Type "Select L2TP/IPSecPSK
c)Server adress "write 219.100.37.144 "
d)IP Sec pre-shared key "write VPN"
e)Fowarding routes "write 0.0.0.0/0
3)Connect to VPN will appear with the following empty fields
a)Username "write vpn"
b)Password "Put vpn"
Then you will connect to new vpn profile where a [emoji1006] symbol will appear on top of your phone window after succesfully connecting to VPN
Kwangu baada ya server address kuna field L2TP secret, halafu IPsec identifier nijaze nn kwenye hizo field??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnahangaika bure sijui kwa nn. Kwenye orbot ni one click tu and you are inKwangu baada ya server address kuna field L2TP secret, halafu IPsec identifier nijaze nn kwenye hizo field??
Sent using Jamii Forums mobile app
samahani... hiyo server address ni ya wapi...?? sijui kama nimepatia kuuliza swali1)Go to Settings>>Wireless and Network and wireless>VPN and then Tap add VPN profile
2)New VPN profile will appear with the following blank fields
a)Name field "Put vpn"
b)Type "Select L2TP/IPSecPSK
c)Server adress "write 219.100.37.144 "
d)IP Sec pre-shared key "write VPN"
e)Fowarding routes "write 0.0.0.0/0
3)Connect to VPN will appear with the following empty fields
a)Username "write vpn"
b)Password "Put vpn"
Then you will connect to new vpn profile where a [emoji1006] symbol will appear on top of your phone window after succesfully connecting to VPN