Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Nawaza tu hii id mpya isije ikawa ujio mpya wa baba d teh teh yaan nawaza tu lakini ameshaniambia harudi tena huku ila nawaza tu ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ndo maana....
 
Kunguniwa ulaya na mzee wa kijiji
 
Haaaaa hata sijui hebu nitafutie[emoji23] [emoji23]
Mzima lakini?
Hata mimi mwenyewe sijapata, sijui huu ubaguzi umeanza lini!!

Naogopa kukuchagulia maana.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] (isije ikawa ya akina Irene)

Mimi mzima kabisa hofu kwako
 
Hata mimi mwenyewe sijapata, sijui huu ubaguzi umeanza lini!!

Naogopa kukuchagulia maana.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] (isije ikawa ya akina Irene)

Mimi mzima kabisa hofu kwako
Haaaaaa yani huu ni ubaguzi wa wazi kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hali ilivyo sasa hata ya Irene inafaa tu[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Haaaaaa yani huu ni ubaguzi wa wazi kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hali ilivyo sasa hata ya Irene inafaa tu[emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dunia ina mambo ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…