Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Wakuu,

Kwa tunavyoishi hapa JF, tunavyo interact, ni hakika, mawazo na michango ya mtu yanahakisi tabia yake.

Kwa hakika hata mtu akikukurupusha usingizini akuambie kama unachagua mtu wa kutengeneza naye couple, lazima kuna mdau hapa jf anakuvutia na unaweza kumtaja japo humjui.

Pia unaweza ukasema hapa JF, fulani na fulani wangetengeneza couple wangependeza mno.

Kwa mfano mimi kuna watu naona wangekua couple ingenoga sana.

Khantwe na Joseverest

Sky Eclat na Kichwa Kichafu

Dj Sepetu na Sakayo

Na nyingine nyingi.

Kwangu mimi leo ukiniambia nichague wa kutengeneza nae couple, ningemchagua huyu mwana dada wa kuitwa Emmyta.

Ni akina nani wengine unaodhani wakitengeneza couple zitanoga?

Ww ukiambiwa uchague wa kutengeneza nae couple hapa JF utamchagua nani?
Kunguniwa ulaya na mzee wa kijiji
 
Haaaaa hata sijui hebu nitafutie[emoji23] [emoji23]
Mzima lakini?
Hata mimi mwenyewe sijapata, sijui huu ubaguzi umeanza lini!!

Naogopa kukuchagulia maana.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] (isije ikawa ya akina Irene)

Mimi mzima kabisa hofu kwako
 
Hata mimi mwenyewe sijapata, sijui huu ubaguzi umeanza lini!!

Naogopa kukuchagulia maana.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] (isije ikawa ya akina Irene)

Mimi mzima kabisa hofu kwako
Haaaaaa yani huu ni ubaguzi wa wazi kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hali ilivyo sasa hata ya Irene inafaa tu[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Haaaaaa yani huu ni ubaguzi wa wazi kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hali ilivyo sasa hata ya Irene inafaa tu[emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dunia ina mambo ujue
 
Back
Top Bottom