impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Wewe na mimiNimeipenda Hiyo ya Sky Eclat na kichwa kichafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na mimiNimeipenda Hiyo ya Sky Eclat na kichwa kichafu
SinaWewe hujataja wako aisee
Hahaaaa asiwe na hofu sanaHaha [emoji23]
Tafuta hela jirani
Nitakusubiri babe wanguSawa, atanisubiri sasaa...!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani Nimechoka akili... Wanaume woooote kweeli kaona huyoo ndo anifaa????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] husna katika ubora wakeNa mm ndio mkewe
Embu mjibu mwenzio vizuri hukoSleep well bossless
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ndo maana....Nawaza tu hii id mpya isije ikawa ujio mpya wa baba d teh teh yaan nawaza tu lakini ameshaniambia harudi tena huku ila nawaza tu ujue
Mimi ndio nimeuona uzi leo, hujaona couple yangu ya uteuzi hapa maana uzi umekuwa mrefu kweli kweli?Kabisa yaani, kumbe umeliona hilo eeh
Mbona sikumbuki km tulipiga picha?! Ulinivizia ee...?!eti nini??? unataka niweke picha hapa sasa hivi kuchafuke humu ndani...wew si ulkuaga Ex wangu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] zile picha bado ninazo
Perfect match hiimis natafta na nyan ngambu bonge la couple
Kunguniwa ulaya na mzee wa kijijiWakuu,
Kwa tunavyoishi hapa JF, tunavyo interact, ni hakika, mawazo na michango ya mtu yanahakisi tabia yake.
Kwa hakika hata mtu akikukurupusha usingizini akuambie kama unachagua mtu wa kutengeneza naye couple, lazima kuna mdau hapa jf anakuvutia na unaweza kumtaja japo humjui.
Pia unaweza ukasema hapa JF, fulani na fulani wangetengeneza couple wangependeza mno.
Kwa mfano mimi kuna watu naona wangekua couple ingenoga sana.
Khantwe na Joseverest
Sky Eclat na Kichwa Kichafu
Dj Sepetu na Sakayo
Na nyingine nyingi.
Kwangu mimi leo ukiniambia nichague wa kutengeneza nae couple, ningemchagua huyu mwana dada wa kuitwa Emmyta.
Ni akina nani wengine unaodhani wakitengeneza couple zitanoga?
Ww ukiambiwa uchague wa kutengeneza nae couple hapa JF utamchagua nani?
We ungetamani nani awe wako?Hata sitajwi wala sijapewa couple akati mm ni kali popote from R
Wewe couple yako ni ipi?Sakaya naona umedondokewa[emoji1][emoji1][emoji1]
Haaaaa hata sijui hebu nitafutie[emoji23] [emoji23]Wewe couple yako ni ipi?
Hata mimi mwenyewe sijapata, sijui huu ubaguzi umeanza lini!!Haaaaa hata sijui hebu nitafutie[emoji23] [emoji23]
Mzima lakini?
Haaaaaa yani huu ni ubaguzi wa wazi kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi mwenyewe sijapata, sijui huu ubaguzi umeanza lini!!
Naogopa kukuchagulia maana.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] (isije ikawa ya akina Irene)
Mimi mzima kabisa hofu kwako
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haaaaaa yani huu ni ubaguzi wa wazi kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hali ilivyo sasa hata ya Irene inafaa tu[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hahaha na mambo yenyewe ndo haya[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dunia ina mambo ujue