Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Duh wote ninaowapenda umewapa watu wengine. Sio poa mshkaj
 
Sakaya naona umedondokewa[emoji1][emoji1][emoji1]
Yeah, ya nini kuumia moyo ilihali muhusika yupo, bora kujilipua tu potelea mbali, kama ukipigwa chini sawa tu, lakini umejaribu. halafu wewe na@Khantwe tutakosana, mmekomaa Sakaya, Sakaya wakati mleta mada alikosea tu, mnaniharibia jina la mchumba wangu( ooh sorry, kumbe bado hajanikubalia kiuhakika)
 
Back
Top Bottom