Duu[emoji33][emoji32][emoji43][emoji43]Kumbuka Dar ilikua sehemu ya zanzibar. Labda ndio uamuzi wa kuhamisha makao kwenda dodoma ili warudishiwe jiji lao na pwani yote toka tanga mpaka mtwara
Ukubwa sio sababu pia nakujitambua ni muhimuTanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.
Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Unamaanisha Kilimanjaro stars ilikuwa ni wachezaji milioni 60 na Zanzibar heroes ilikuwa na wachezaji milioni 2??Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.
Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Changia mada, usijitoe ufahamuUnamaanisha Kilimanjaro stars ilikuwa ni wachezaji milioni 60 na Zanzibar heroes ilikuwa na wachezaji milioni 2??
Pointi yako haina mashiko
Ulitakiwa uandike kama mtu wa mpira kwa kuangalia nature ya game, umuhimu wa game, ufundi wa wachezaji, plan za timu nk
In short,
Wingi haujawahi kuwa hoja
Hata hivyo, Mapinduzi cup kwa ujumla wake haichukuliwi serious na wachezaji wa Tanganyika
Kwa hesabu hizi, basi timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya USA isingekuwa inafungwa.Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.
Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Idadi ya watu haichezi mpira ndugu, ingekuwa hivyo world cup kila mara fainali ni China vs IndiaTanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.
Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
🤣🤣🤣Sisi hatuna uwezoTanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.
Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.
Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Mada nyingi ya chuki na unyonge ambao hautusaidii kama nchi. Mpira ni mchezo wenye kuongozwa na mikakati mipana na Wallace Karia ameanza kuifanyia kazi kwa kina.Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.
Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Sahivi wapo huru zaidi kuliko wakati wowoteTanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.
Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Wewe unayedhani unaelewa nini unachoongea umekwama kwenye akili za chuki na ujinga wa ubaguzi.9Huwezi kuelewa
Kwanza hilo ni bonanzaUnamaanisha Kilimanjaro stars ilikuwa ni wachezaji milioni 60 na Zanzibar heroes ilikuwa na wachezaji milioni 2??
Pointi yako haina mashiko
Ulitakiwa uandike kama mtu wa mpira kwa kuangalia nature ya game, umuhimu wa game, ufundi wa wachezaji, plan za timu nk
In short,
Wingi haujawahi kuwa hoja
Hata hivyo, Mapinduzi cup kwa ujumla wake haichukuliwi serious na wachezaji wa Tanganyika
Mechi ya kisiasaTanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.