Kama hawa wasiozidi milioni mbili wametupelekesha watu milioni 60 uwanja wa Amani, wakipata uhuru kamilii tutawaweza?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je, hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli?

Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara.
 
Kumbuka Dar ilikua sehemu ya zanzibar. Labda ndio uamuzi wa kuhamisha makao kwenda dodoma ili warudishiwe jiji lao na pwani yote toka tanga mpaka mtwara
 
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Ukubwa sio sababu pia nakujitambua ni muhimu
 
Miano Danilo! Player of the match......Upande wa kulipa upo Salama. Hili ndio la msingi. Pep Guadiola mnene angewaacha wale ma -pro wamalize dakika arobaini labda tungepata kitu walishaanza kuchangamka na kujitafuta. Wakaingizwa pira papatu papatu wasofundishika
 
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Unamaanisha Kilimanjaro stars ilikuwa ni wachezaji milioni 60 na Zanzibar heroes ilikuwa na wachezaji milioni 2??

Pointi yako haina mashiko

Ulitakiwa uandike kama mtu wa mpira kwa kuangalia nature ya game, umuhimu wa game, ufundi wa wachezaji, plan za timu nk

In short,

Wingi haujawahi kuwa hoja

Hata hivyo, Mapinduzi cup kwa ujumla wake haichukuliwi serious na wachezaji wa Tanganyika
 
Changia mada, usijitoe ufahamu
 
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Kwa hesabu hizi, basi timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya USA isingekuwa inafungwa.

Ova
 
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Idadi ya watu haichezi mpira ndugu, ingekuwa hivyo world cup kila mara fainali ni China vs India
 
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
🤣🤣🤣Sisi hatuna uwezo
 
Jifunze quality vs quantity kwenye duania ya sasa
 
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Mada nyingi ya chuki na unyonge ambao hautusaidii kama nchi. Mpira ni mchezo wenye kuongozwa na mikakati mipana na Wallace Karia ameanza kuifanyia kazi kwa kina.

Tumshukuru Karia kwa hatua za kuweza kuleta wachezaji wetu wa kulipwa kuliko kuanza kuja na mada za lawama, matusi na kutojiamini kwetu.
 
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Sahivi wapo huru zaidi kuliko wakati wowote
 
9Huwezi kuelewa
Wewe unayedhani unaelewa nini unachoongea umekwama kwenye akili za chuki na ujinga wa ubaguzi.

Wapemba walianza kufanya biashara pale Namanga karibu na ubalozi wa Marekani miaka ya 1985-86, nina uhakika sisi wengi wetu huku bara hatukuwa na akili zile, unataka wachangiaji waje na hoja za chuki badala ya kutazama wapi kama taifa tumekwamia.
 
Unamaanisha Kilimanjaro stars ilikuwa ni wachezaji milioni 60 na Zanzibar heroes ilikuwa na wachezaji milioni 2??

Pointi yako haina mashiko

Ulitakiwa uandike kama mtu wa mpira kwa kuangalia nature ya game, umuhimu wa game, ufundi wa wachezaji, plan za timu nk

In short,

Wingi haujawahi kuwa hoja

Hata hivyo, Mapinduzi cup kwa ujumla wake haichukuliwi serious na wachezaji wa Tanganyika
Kwanza hilo ni bonanza
 
MEC
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara
Mechi ya kisiasa
 
Back
Top Bottom